Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza imewanzisha utaratibu kwa bodaboda wote kuwa na leseni za biashara bila kuwa na kikao nao wala kujadili jambo hili, hali hiyo imesababisha usumbufu mkuwa sana kwa vijana wanaotoa huduma hii, hivi sasa wanakamatwa na kulazimishwa kulipia leseni ya biashara shilingi 76000 huku pia wakiambiwa wanatakiwa kulipia maegesho kila siku.
Naona sasa halmashauri zimechacha na zimeamua kutafuta vyanzo vya mapato. Hebu jamani tuwaonee huruma hawa vijana hali ni ngumu sana, kijiwe kujisajili wanalipa laki mbili kila mtu zote zinaenda serikalini,sumatra wanalipa, bima, etc bado hesabu za waajiri wao