manii nyepesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

manii nyepesi

Discussion in 'JF Doctor' started by mama pita, Oct 29, 2012.

 1. m

  mama pita Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  habari zenu wanajf! mimi ninampenzi wangu anamanii mepesi sana kama maji, nauliza ni kawaida au anaweza akawa na matatizo? ushauri jaman
   
 2. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Stil loading......
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hii ni normal tu na hii hutokea akiwa hajafnya mapenzi muda mrefu, akifanya mara kwa mara mara nyingi zinakuwa nzito kidogo lakini kama amekaa kwa muda mrefu huwa nyepesi kidogo. hivyo hii ni normal, enjoy your life
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Inawezekana ni dalili za uhanithi
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kawaida akiwa ametoka kufanya tendo akarudia tena au akafanya mfululizo kila siku zinakuwa nyepesi
   
 6. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,190
  Likes Received: 2,884
  Trophy Points: 280
  umevuka mpaka, vivid examples please!
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hata kumtia moyo mwenzio wewe unalipua tu ribom kama hilo utamsaidia kum..mbea mke wake au girfriend wake sasa usipotoa ushauri mzuri
   
 8. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mkuu hapo kwenye red, mtu kama hajafanya muda mrefu zinatakiwa kuwa nzito na sio nyepesi.
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Rudi jandoni utafundishwa mengi kiasi cha kutouliza majibu baadaye.
   
 10. Johas

  Johas Senior Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mama Pita...

  Subiri " kitchen Party" wakati muhafaka ukifika utayapata yote.
   
 11. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Embu mcheki kwenye mirija ya Manii(Reference kitabu cha la nne)
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  umejuwaje nimevuka mpaka kwani si moja ya majibu?thats black and white
   
 13. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  hali kama hiyo inatokea kama unafanya mapenzi mara kwa mara....akikaa mda bila kudo zitatoka nzito unless awe na tatizo,..wapi mkuu MziziMkavu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  changudoa huyo ,kila saa anafanya
  muulize tupo wangapi?
   
 15. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa kawaida, manii huwa ni mepesi kama maji ya mchele, lakini yakichanganyikana na semen ndo ile ingine kama kamasi kamasi vinajichanganya mumo kwa mumo huoni kama malaini au la. mle kwenye mayai ya mwanamme hutoka maji malaini na sio zile kamasi. kwa kukuelewesha ni kwamba, manii hutengenezwa kwenye mayai ya mwanaume, mrija unakujaa unafika kuna kaeneo fulani hivi hako hutoa yale majimaji malaini ambayo mwanaume hata kama hajaejaculate hutoa maji malaini hapo kuna uteute huitwa semen huchanganyikana na sperm zinazotoka kwenye mpumbu zile semen hutangulia kwanza na ni nzito ili kutengeneza na kulainisha njia ili manii yapite kwa urahisi na mbegu hufuata, ndo maana ukikojoa mwanaume utajikuta mwanzoni unatoa nzito mwishoni yanatoka maji kama ya mchele malaini, zile sasa ndo mbegu halisi pamoja na kwamba zingine zilishatangulia kuchanganyikana na semen. hivyo si tatizo kwa uelewa wangu. pia, hutafafanua hayo maji ni ya aina gani, kama ni maji kama ya mchele au maji ya kung'ara ambayo ni kama ute unaotoka mwanaume akisimamisha kabla ya tendo...kama ndo hivyo basi, atakuwa na upungufu wa mbegu ndo maana zinatoka semen bila sperms na basi unatakiwa kumlisha vyakula vinavyoongeza sperms...vyakula vinavyoongeza sperms ni vile vyenye madini ya zinc kwa wingi kama wadudu wa baharini (hapa ndo utaona kwanini wazungu waling'ang'ania oysterbay, wkasababu chakula chenye zinc kuliko vyote ni oyster), pweza, samaki wa baharini, nyama nyekundu hata kama inapunguza kuishi, maharagwe n.k, ukimpa karanga hataongeza sperms bali ataongeza semen.
   
 16. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  umeongea vizuri ila verse versa yake ndio true
   
 17. M

  MINJA MAN Member

  #17
  Nov 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je huwa anakufikisha kileleni sawa sawa?cz mbegu ni matokeo ya wtt 2!
   
 18. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  si kwamba ni kinyume? mi najua akikaa muda bila kufanya ndo zinakuwa nzito
   
 19. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,493
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  anywe uji wa cement
   
 20. Mariano

  Mariano Member

  #20
  Nov 4, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha kumtisha mzio hiyo ni har ya kawaida mpe sana karanga
   
Loading...