Manifesto Ya Odm

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2
Ndugu Waheshimiwa,

Zikiwa zimesalia takriban wiki mbili na siku kumi hivi ili tufikie siku ya kihistoria ya Elections Kenya, hii hapa MANIFESTO YA ODM. IChambueni na mtuweke kwenye maombi tuweze kuinyakua mamlaka toka kwa Mheshimiwa Kibaki na Wenzake.

1. Chini hapa mna link ambayo itakupa dira ya Manifesto Launch ya ODM na Rais Wetu RAILA AMOLO ODINGA

http://www.youtube.com/watch?v=jT5Oegi3WGo

2. Pili nimejaribu kuiattach Manifesto Yenyewe (pdf file). Ukashindwa kuidownlodi basi nakusihi nenda kwenye website ya Raila iliyo hapa chini kwa maneno mekundu. Utapata copy pale.

3. Friday iliyopita Kura za maoni nne zimeonyesha Raila bado ana alama 5 zaidi ya Kibaki na Kibaki ameanguka alama 2. Basi kuweni tayari kumtuma JK aje kushuhudia change of Power mwishoni mwa mwaka.

Ahsanteni,

RAILA HOYEEE, SIASA JENZI HOYEEE, KENYA NA EA HOYEE.
 
Back
Top Bottom