Manifestation Secret

Manifestation Secret

Mfano unajua una kikao muhimu sana kabla ya kwenda kwenye hicho kikao unaweza kwenda sehem ambayo wanauza nyuki ukanunua nyuki wale na kuwaachia,unaweza amua kupanda miti nk. Ancient culters walitumia njia km hizi kwa miaka mingi kwa kutoa/providing to nature in order to bring good fortunes.

Natoweka nikiweweseka kiwendazimu.
Hapo unakuwa umewasaidia vipi hao Nyuki ? Labda ununue asali kwa wenye mizinga na kuwaambia wawaachie nyuki wasiichukue; unless unaweza ukadhani unatenda jema kumbe unaharibu

Au panda maua n.k. kuwaongezea Chakula...
 
Back
Top Bottom