sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Wewe jana si ulikua unanitaka?
Alikutakaje..?
Wewe jana si ulikua unanitaka?
Alikutakaje..?
Wewe jana si ulikua unanitaka?
Wewe jana si ulikua unanitaka?
Hahahahaaa hata mi sikumiss kabisaaaaakwa sijakumiss! manake hakuna kitu special ulichonifanyia hata nikumiss!!!!!!!
Mambo mke wangu!Zimefika mamiii
Poa mumeMambo mke wangu!
Mh na staili yenu mpya ya mashairi haya lol..
RIP mzee wa mikasi..
Kaunga alikusikia, akashindwa kufikiria,
Umauti umekufikia, huku Smile anakulilia,
Hakuna mtu aliyezimia, ila Paloma anaugulia,
Mangwea tangulia!
WanaChitChat tunakuombea, mahali pema kuelekea,
Japo mwenzio kakufuatia, haina budi kuvumilia,
Mwanao ataangaliwa, shaka kabisa ondoa,
Mangwea tangulia.
Uchakachuzi unapoanzia
Erickb52 nakuhusia, Chocs kumsikia,
Chochote anachokuambia, ni vyema kumfanyia,
Mapochopocho kumnunulia, na upendo kumuonyeshea,
B52 nakuambia, natumaini hautomkimbia.
Mr Rocky angalia, njia unazokimbilia,
Mamndenyi anakulilia,weye wafurahi na Nivea,
Baba V anakuangalia, bila hata kukukemea,
Rocky kuwa makini, umshinde TUMAINI.
sosoliso nakuapia, Paloma kukuchukulia,
Khanga moja kunivalia, na macho hunilegezea,
Wowowo kunitingishia, na mwendo hunibadilishia,
Soso angalia, kabla sijakuingilia.
Shairi nalimaliza, japo nimewaumiza,
Mizaha nimeiendekeza, na ukweli kuwajuza,
Someni mkijiuliza, na pia kunijibiza,
Shukrani natanguliza, kumradhi kwa niliowakwaza.
Aisome Asprin, Slave, Bishanga, manoah, King'asti, Kongosho, Zamaulid, Queen Kan, kamtu33, Dark City, Safari_ni_Safari, Elli, Filipo na wengine nilioshindwa kuwataja.
""Nothing you wear is more important than your smile""