Mangungu na Ahmed Ally watupishe Simba

Mangungu na Ahmed Ally watupishe Simba

Ritarita

Member
Joined
Feb 22, 2025
Posts
11
Reaction score
14
M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja imara yenye wachezaji wazuri kumbe wanaifanyia propaganda ya kutufunga macho.

Bila ya Hawa kuondoka Simba haitapata ubingwa wa ligi kuu kuanzia msimu 2025/2026 na baadae kwani viongozi hao wanatumika na GSM

Hivyo wanasimba kuweni makini ndo maana baada ya kufungwa na Yanga tu kijana Ahmed Ally kwa furaha alienda kuoa mke wa pili mtoto wa Mariam Migomba.

Chondechonde hao wote wanatoka Mtwara na ni Yanga
 
Hata wao wanataka uwapishe kama shabiki
 
Ally anashida gani wewe shabiki uchwara?

Mimi ni.mwana yanga ila huwa sina tatizo na msemaji wa kilabu. Inaonesha jinsi gani mashabiki wa simba walivyo weupe vichwani.

Ally amesababishaje ninyi kutoka kapa msimu huu?
 
Msemaji wa simba Ahmed Ally anatumika na viongozi wa Yanga kutoa Siri za timu hasa inapotaka kukutana na Yanga
Aidha ni mtu anayewapamba wachezaji dhaifu/hawana kiwango kipindi Cha usajili.
Hivyo anatumika kufanya propaganda ili kuwaaminisha Wana simba.
Huyo anapaswa kuondoka simba akiwa pamoja na MANGUNGU, bodi ya wakurugenzi, kamati ya usajili.
Aidha anatumika na viongozi wa simba ili wapige 10% kwa kuwapamba wachezaji.
Nawaambieni simba ikipata viongozi makini itakuwa timu Bora sana.
USAJILI WA 20% HATUUTAKI
 
Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.

Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.

Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.

#TikiKwaSamia
 
Kwani yeye ni fundi ujenzi ..
 
Ahmed Ally ana shida gani. Kama wachezaji ni matutusa msemaji ndio anatakiwa aingie uwanjani kucheza?

Simba wenye shida ni watu wawili tu. Mwenyekiti Mangungu na mwekezaji Mo Dewji. Basi!
 
M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja imara yenye wachezaji wazuri kumbe wanaifanyia propaganda ya kutufunga macho.

Bila ya Hawa kuondoka Simba haitapata ubingwa wa ligi kuu kuanzia msimu 2025/2026 na baadae kwani viongozi hao wanatumika na GSM

Hivyo wanasimba kuweni makini ndo maana baada ya kufungwa na Yanga tu kijana Ahmed Ally kwa furaha alienda kuoa mke wa pili mtoto wa Mariam Migomba.

Chondechonde hao wote wanatoka Mtwara na ni Yanga
Naunga mkono hoja
 
Msemaji wa simba Ahmed Ally anatumika na viongozi wa Yanga kutoa Siri za timu hasa inapotaka kukutana na Yanga
Aidha ni mtu anayewapamba wachezaji dhaifu/hawana kiwango kipindi Cha usajili.
Hivyo anatumika kufanya propaganda ili kuwaaminisha Wana simba.
Huyo anapaswa kuondoka simba akiwa pamoja na MANGUNGU, bodi ya wakurugenzi, kamati ya usajili.
Aidha anatumika na viongozi wa simba ili wapige 10% kwa kuwapamba wachezaji.
Nawaambieni simba ikipata viongozi makini itakuwa timu Bora sana.
USAJILI WA 20% HATUUTAKI
Wewe unazo habari za msemaji kuvujisha siri lakini Dewij hana?

Huo ni wivu na roho mbaya ya kutaka nafasi ya msemaji.

Allyi huyu huyu aliyekuwa analia kwenye mechi ya robo fainali?
 
Mkuu jitahidi kuficha ujinga.
Yani unashihirisha ulivyokuwa mweupe kichwani.

Nimeandika ili kukusaidia Ubadiri Fikra na Mawazo
- Tumia akili yako kufikiri vizuri, usitumie hisia kama mwanamama.

Aibu yako.
 
M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja imara yenye wachezaji wazuri kumbe wanaifanyia propaganda ya kutufunga macho.

Bila ya Hawa kuondoka Simba haitapata ubingwa wa ligi kuu kuanzia msimu 2025/2026 na baadae kwani viongozi hao wanatumika na GSM

Hivyo wanasimba kuweni makini ndo maana baada ya kufungwa na Yanga tu kijana Ahmed Ally kwa furaha alienda kuoa mke wa pili mtoto wa Mariam Migomba.

Chondechonde hao wote wanatoka Mtwara na ni Yanga
Ahmed Ally hana kosa lolote , yeye kazi yake ni kuisemea Simba kama mumesajili wachezaji wa chini ya kiwango yeye kosa lake nini au unataka awe anaisema vibaya Simba kama anavyofanya Ally Kamwe? Kwa Mangungu ni sawa kwani yeye ndiye kiongozi mkuu wa Simba hivyo mambo yanapoharibika lawama zote lazima azibebe yeye.
 
U

Unaliwa uto wewe
 
Tatizo la Simba siyo Mangungu Wala Msemaji. Tatizo la Simba ni Poor management.

Wenzetu wa Yanga wako vizuri sana kwenye Eneo Hilo.

Mpira ni Muunganiko wa Management pamoja na wachezaji na benchi la Ufundi.

Management ya Simba Imepwaya sana na kujiona mafaza badala ya kuishi kama familia na wachezaji.

Ukiangalia Lifestyle ya Management ya Yanga utagundua imejenga spirit mpaka kwa wachezaji kuipambania Nembo ya Yanga.

Pale yanga Ukikipeleka kikosi chote cha Simba kitaparfom na kubeba vikombe kwa sababu tu ya Management ya Yanga.

Tukubali tumefeli si kwa sababu ya wachezaji Bali poor Management.
 
Ally anashida gani wewe shabiki uchwara?

Mimi ni.mwana yanga ila huwa sina tatizo na msemaji wa kilabu. Inaonesha jinsi gani mashabiki wa simba walivyo weupe vichwani.

Ally amesababishaje ninyi kutoka kapa msimu huu?
Tayari imeshakuwa mada😀
 
Tatizo la Simba siyo Mangungu Wala Msemaji. Tatizo la Simba ni Poor management.

Wenzetu wa Yanga wako vizuri sana kwenye Eneo Hilo.

Mpira ni Muunganiko wa Management pamoja na wachezaji na benchi la Ufundi.

Management ya Simba Imepwaya sana na kujiona mafaza badala ya kuishi kama familia na wachezaji.

Ukiangalia Lifestyle ya Management ya Yanga utagundua imejenga spirit mpaka kwa wachezaji kuipambania Nembo ya Yanga.

Pale yanga Ukikipeleka kikosi chote cha Simba kitaparfom na kubeba vikombe kwa sababu tu ya Management ya Yanga.

Tukubali tumefeli si kwa sababu ya wachezaji Bali poor Management.

Nakubaliana na wazo lakini mstari wa mwisho ndio napingana na wewe.

Simba haina Quality ya wachezaji.
Tumia tu akili ya kawaida ya kuvukia Barabara.
Kwenye Eneo la No 10 yanga wamekuwa na Wachezaji wafuatao.
-Azizi ki.
-Chama.
-Max.
-Pakome.
-Mudadhiri.
SIMBA KWENYE NO 10 INA NANI??????.
TUMIA AKILI NDOGO TU YA KAWAIDA.
 
Mkuu Unaweza kukawa na Resources zote na Usipate kitu kama Una poor management.

Nakuhakikishia badilisha management ya Simba ilete management ya Yanga Simba hii ina chukua Vikombe.

Sisi hatu Kushinda vita ya Uganda kwa sababu ya zana Nzuri za kivita.

Yuganda walikua Bora sana kwenye zana za kivita.

Kilichotusaidia Tanzania ni Amasa ya Uongozi.

Ndio walicho nacho Yanga Uo ndio Ukweli Brother.
 
Back
Top Bottom