Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,673
Kaongezeka ecua ange.Nakubaliana na wazo lakini mstari wa mwisho ndio napingana na wewe.
Simba haina Quality ya wachezaji.
Tumia tu akili ya kawaida ya kuvukia Barabara.
Kwenye Eneo la No 10 yanga wamekuwa na Wachezaji wafuatao.
-Azizi ki.
-Chama.
-Max.
-Pakome.
-Mudadhiri.
SIMBA KWENYE NO 10 INA NANI??????.
TUMIA AKILI NDOGO TU YA KAWAIDA.
Nae anauwezo huo