House4Sale Mango Tree Residence Apartments for sale

House4Sale Mango Tree Residence Apartments for sale

Karibu boss, huwez kuweka maelezo ya wamiliki mtandaoni hizo ni taarifa nyeti, pia kuhusu bei nitext whatsap 0743 598 873 ntakutumia direct price list nzima, karibu ofisini Msasani beach uje uwajue wamiliki husika kama kweli uko interested.🙏
Wamiliki wa huu mradi ni nani?
Bei za hizo apartment?
Weka maelezo kamili.
 
Huyu atakuwa kachukua udalali, kaongeza chake kama vile kajenga.

Kuna project zina nafuu sana kuliko hii. Anyway hela ya kuwa chawa haiumi.

Who are the ultimate beneficiaries wa hii project?
Tusije wapa hela wahaini wetu.
Mkuu hizi ni biashara kubwa sio kama za kuuziqna magari, kwamba unamwambia tajiri nifichie kiasi fulani. Pengine hujui hizi kazi agent analipwa vp ndio maana unaongea haya. Nashukuru kwa comment yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom