Mango tree residence ni mradi mpya unaojengwa hivi sasa eneo la Msasani beach nyuma ya Gsm home mikocheni.
Mradi huu ni mradi wa makazi wenye majengo 5 yenye gorofa 17 kila jengo.
Mradi huu una aina 3 za vyumba, 1,2&3bedrooms.
Mradi umeshaanza kuuzwa wakati ukiwa unaendelea kujengwa unatarajiwa kukamilika 2027 kwa phase ya kwanza na 2029 phase ya 2, na malipo yake ni kwa awamu (Installment) kianzia cha malipo ni 30% ya bei ya unit utakayoichagua, na kiasi kitakachobakia utakilipa taratibu ndani ya miezi 20 hadi 24.
Sifa za mradi, mradi utakuwa na,
Gym, swimming pool 2, Uwanja wa tennis, eneo la kuchezea watoto, Parking kubwa kabisa, Ulinzi mkubwa, Cctv camera, LIFT 2 kwa kila floor yenye watu 6, Standby Generators, BAR, Garden kubwa na utapata upepo wa bahari kwa sababu mradi upo ufukweni.
Fursa kwako mwekezaji na mfanyabiashara wa real estate unaweza kununua apartments hizi ukafanya biashara ya airbnb,hotel,apartment renting na ukapata pesa zaidi kwa uwekezaji wako.
Pia kwa wote mnaotamani kumiliki apartments za kuishi kwenye ufukwe wa bahari ya hindi unakaribishwa.
Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi wetu, kujua bei za unit tulizo nazo, namna ya kufika site na ofisini kwetu kuja kututembelea tupigie au whatssap 0743 598 873.
Karibu sana mango tree residence, wekeza nasi unufaike zaidi, Uzee hauna hodi. Karibuni sana.
Denis masoko
Mango tree residence msasani beach
0743 598 873