Mangi Meli mwaka 1900

Mangi Meli mwaka 1900

Mangi alikuwa anapiga pamba kali kinyama halafu hiyo ni 1900
 
duh !! mbona kavaa kama kijana wa kileo na picha ipo quality kabisa
 
Nyengine hii,sasa hapa sijui yupo na bibi zetu hawa?
Screenshot_20190816-143107.jpeg
 
Hii picha haijapigwa 1900 mkuu umapotosha
Hapo imetumika modern camera

Come with exact period
 
picha ikimuonyesha chifu wa wachaga mangi meri mwaka 1900.
Mbona hana Makeke! Kama wale!

Mkama Malumbo wa Majita -Suguti,

Nzinga Nkuwu -Man Congo, Mzee wa Nzimbu state House.

Milambo -Tabora huyu amekaa km '' chakula''

Mabaunsa hana,

Misuri tu ya kutunatuna km mfalme ya mazoezi iliyo tayari kwa vita popote! hana,

Ngao tu hana, mpiga picha akimgeuka je?

Mkuki km kawaida yetu hana....... ndiyo huyuuu! namsikiaga?

Kumbe ndiyo maana wachaga mko ivo mlivo!!!!!!!! sababu ya huyu!!!!!!

Aliingilika kiulaini na wazungu walimfanya njia tu, hivi hivi!

Mikoa mingine Mkoloni alitawala kwa adabu zake!
 
Back
Top Bottom