Mangi aliyejirusha (aliyerushwa?) Toka ghorofa ya 9 kariakoo

Hili ni tukio la simanzi na masikitiko makubwa sana kwa watu wenye hekima, sijajua ni kwa nini ulirudishe leo ili kuendelea kuhuzunisha jamaa zake ? na watu wengine ?

lengo lako ni nini hasa, huu ni udhalilishaji wa aina nyingine Bora ungesimulia tu bila picha
mfano angekuwa ndugu yako wa karibu kbs yamemtokea hayo , je ungeweza kuendelea kuieneza hiyo picha yake amelala mauti hivyo ? ? tafadhali tuwe wastaarabu
 
Sio poa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
True
 
Back
Top Bottom