Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,501
- 3,609
Gari lina bima, litalipwa na watu wa bimaAlivyojirusha alibeba kiloba cha mawe?sasa mbona kaponda gari ya watu?Ndugu inabidi walipe hata kama kadedi.
Gari lina bima, litalipwa na watu wa bimaAlivyojirusha alibeba kiloba cha mawe?sasa mbona kaponda gari ya watu?Ndugu inabidi walipe hata kama kadedi.
Angekua kakako ungecomment hivi?
Duuh aiseeNi mfanyabiashara Mchaga View attachment 966756
Hili ni tukio la simanzi na masikitiko makubwa sana kwa watu wenye hekima, sijajua ni kwa nini ulirudishe leo ili kuendelea kuhuzunisha jamaa zake ? na watu wengine ?
lengo lako ni nini hasa, huu ni udhalilishaji wa aina nyingine Bora ungesimulia tu bila picha
mfano angekuwa ndugu yako wa karibu kbs yamemtokea hayo , je ungeweza kuendelea kuieneza hiyo picha yake amelala mauti hivyo ? ? tafadhali tuwe wastaarabu
TrueHili ni tukio la simanzi na masikitiko makubwa sana kwa watu wenye hekima, sijajua ni kwa nini ulirudishe leo ili kuendelea kuhuzunisha jamaa zake ? na watu wengine ?
lengo lako ni nini hasa, huu ni udhalilishaji wa aina nyingine Bora ungesimulia tu bila picha
mfano angekuwa ndugu yako wa karibu kbs yamemtokea hayo , je ungeweza kuendelea kuieneza hiyo picha yake amelala mauti hivyo ? ? tafadhali tuwe wastaarabu
unamaanisha mwezi JANUARINimelikumbuka ilikuwa kipindi kama hiki