Ukilala ukiamka,ukila ukishiba,ukinya ukimaliza bc utaanza kuwasema UKAWA.
Back to the point,LOWASSA wa leo si lowassa wa miaka8 iliyopita,u a judging the different person....as u know people change,every saint got a past and every sinner has a future,only God can judge us all coz anaona zaidi ya macho ya binadamu,He looks at the heart!!
Kama Mungu ameamua Lowassa awe rais wa Tz na atakuwa tu,kama wewe na ndgu zako ccm mngekuwa na ushahidi mngemshtaki since then sio mnatoa povu leo,no prove no right to say,watch ur moves mwanamke.
Jinsi unafatilia ya ukawa surely u must be our Biggest Fan,ila unafki unakusumbua.Alfu uwe na adabu Lowassa ni kama Baba yako kumdhalilisha hivyo utalaaniwa zaidi ya hapo.
Mange u don't look good when u make others look bad,coz maneno yako toward Him they reflect urself,dats y ulishindwa na ubunge,jiulize y ulishindwa! You are not good enough for our country. Alf ni njaa tu zinakusumbua ubunge ungekuwa wa kujitolea bila pesaaa ungetoka USA kuja kugombea,shame on u,mxieeeww
Kila mtu ana mazuri na mabaya,mazuri ya Lowassa kwangu alituletea maji ya ziwa Victoria mkoani kwetu alipokuwa waziri wa maji,kuhusu richmond nilisikia wala sikuoneshwa ushahidi wa huo ufisadi
Anakera sana, u noe usiwafanyie watu usiyopenda kufanyiwa anamsema sana huyu Baba,hivi angekuwa ni baba ake ye angejisikia vizuri no matter da reason, mafisadi wangapi hawaoni kila kukicha Lowassa, hawaoni kina chenge,tibaijuka,na wengi tu mafisadi wamepita kura za maoni za ccm ila kakazana tu Lowassa
Anatafuta viti maalum..njaa mbaya sana wajameni...
Na wazungu walivyokua waumini wazuri wa ABU DHABI sidhani kama kutakua kunatamanika huko upande wa pili wa samaki...Eti bwana el chappel nasikia huyu dada kabla hajaolewa alikua ni KAHABARIKA wa mjini?njaa mbaya nasikia kaolewa na mzungu..siku hizi wazungu wanajua hadi bei ya choroko kg ni shingap..
Na wazungu walivyokua waumini wazuri wa ABU DHABI sidhani kama kutakua kunatamanika huko upande wa pili wa samaki...Eti bwana el chappel nasikia huyu dada kabla hajaolewa alikua ni KAHABARIKA wa mjini?
Na wazungu walivyokua waumini wazuri wa ABU DHABI sidhani kama kutakua kunatamanika huko upande wa pili wa samaki...Eti bwana el chappel nasikia huyu dada kabla hajaolewa alikua ni KAHABARIKA wa mjini?
Ukilala ukiamka, ukila ukishiba, ukinya ukimaliza basi utaanza kuwasema UKAWA.
Back to the point, Lowassa wa leo si Lowassa wa miaka 8 iliyopita, you are judging the different person. As u know people change, every saint got a past and every sinner has a future, only God can judge us all coz anaona zaidi ya macho ya binadamu, he looks at the heart!.