Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,348
- 144,919
Hivi tatizo ni Mange? Kingereza alichotumia? Au gundu alilonalo? Wengi inaonekana mnapenda Mange na ndio maana mna muda wa kufunguwa account zake huyu ghibirisi.
Niweke wazi kabisa simpendi kabisa Mange hata siku moja lakini ukweli ni kwamba alichoandika ndio ukweli wenyewe labda kama wengi mnasumbuliwa na lugha ya malkia aliyotumia au chuki zetu kwake zinatufanya kushindwa hata kudiest alichoandika.
Ni kweli tupu wanawake wengi wanaitumia miili yao kutimiza malengo yao, hawatoi K bure na wala hawauzi.
Kasema kweli, wanachofanya kinadada wengi ni kutumia uzuri wao "ile kitu" kujipatia material things na si vinginevyo! Hayo maiina sijui baby, honey, hubby, sweetheart ni wizi mtupu!
Nakubaliana na wewe kwa kila nukta, kwa mfano mimi hata siku moja siwezi kuingia blog ya michuzi na hata Mjengwa blog nimeacha kutembelea kwa sababu ya political bias zao, kwahiyo hutoniona hapa kurepoti lolote kutoka blog hizo.Huyo dada naona watu wengi sana wanamkubali ila wako kwenye denial.
Ni kama wenu mtiifu tu hapa. Najua watu wananikubali sana tu. Kila wakiona mabandiko yangu lazima wasome waone nimesema nini.
Ndo hayo hayo ya binti. Watakuwa wanamkubali sana. Haiwezekani mtu mmoja, tena eti supposedly anayechukiwa saana, kukosesha watu usingizi namna hii. Na hao watu hawaishi kumfuata huko kwenye maushuzi ya sijui Instagram nini nini. Yaani haiingii kabisa akilini aisee.
Halafu anavojua kuwatoa watu mapovu sasa....hahahaaa....just classic textbook. Huwa nahisi kama keshawasoma wajinga wajinga walivyo na anajua nini cha kufanya kuwatoa mapovu na utoko....teh teh teh.
Not to toot my own horn but I wouldn't be least bit surprised if she takes pointers from the best (read: me) on how to aggravate online trolls.
She has definitely taken the mantle of being the number one hater aggravater......
USA baby.........
Halafu watu hawataki kukubali ukweli! That's how most women are made of!Alichosema/ andika kina ukweli mwingi tu.
That's what we call 'too much truth'...
Mungu anisamehe, viko vitu vingine vinatia kinyaa.Hahahahaaa na wewe unataka kula lile shombo mkuu?
Usisahau tu kunipa feedback...
Kila la kheri
Nakubaliana na wewe kwa kila nukta, kwa mfano mimi hata siku moja siwezi kuingia blog ya michuzi na hata Mjengwa blog nimeacha kutembelea kwa sababu ya political bias zao, kwahiyo hutoniona hapa kurepoti lolote kutoka blog hizo.
Pili mimi si mshabiki wa ujingaujinga hivyo hata blog ya jamaa yetu Le Mutuz huwa sina muda nayo, sembuse hiyo blog ya Mange? Au hizo Insta zao? Nadhani Le Mutuz na Mange kuna watu wanawazimia sana ila hawajijui kama wanawazimia na kufa kabisa.
Ebu tujadili bila kujali nani kusema utaona Kuna ukweli ndani yake Kuna wadada wengi tu wanaajiriwa ajira nzuri simply because of pussy! Wengine wamepewa Ubunge, uwaziri na mishahara hewa BOT mitaani ndo usiseme girls are driving expensive cars because of pussy (although not all) lakini idadi ni kubwa mno beyond comparison!Mimi naona kama watu hamjamwelewa dada yangu Mange Kimambi, alichokisa kinafanywa na wanawake wote duniani
Sijui kwanini naonaga uandishi wa mange na lara 1 unafanana
Yani wana vikauli flani hivi vya know it all
Hata Rais wako Magufuli anaishi Dar, hata BOT ipo Dar, kwakifupi Dar ndio Tanzania, utaki unaacha.Kwakweli Wanaume wa Dar hamtuangushi hata kidogo linapokuja swala la kuwachamba akina dada, hongera....na umbeya hapo ndio nyumbani!!!??
Hakuna cha kajiukweli kwa mbali ni ukweli mtupu, wadada wa leo karibu wote hawauzi K lakini hawatoi bure pia.Mumrushie mawe mange weeee... ila kuna kijiukweli fulani kwa mbaaaaaaliii
She wants to distract the attention ya ule uzi wa Nifa. Na bado... Aombe poooooo. Sasa mbona hauzi this time anakaa LA ya Unga limited Arusha. Pussy yenyewe, inatakiwa iombewe hiyo. Twendeni celebrities kwenye uzi uleeeee...Haaaa haa ngoja nirudi Celebrity forum..Nifaaaa Mwasu twendeni zetu kile kwenye Uzi wetu Hatudanganyikiii tunayeee mpaka mwisho..let's go back.