KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Washauri wako wanakudanganya dada yangu ww ni mbaya sana hufai kuvaa hivyo kwa kipi utafikiria Zena yule wa gazeti la sani duh hii hatari sana rudi ufute uchafu wako huku sio FB peleka huko huko uchafu huu!
Tatizo la huyo Mavi Designer anataka kushindana na huyu Linda kitu ambacho anajisumbuwa bure nia sawa kichuguu kushindana na mlima Kilimanjaro.Washauri wako wanakudanganya dada yangu ww ni mbaya sana hufai kuvaa hivyo kwa kipi utafikiria Zena yule wa gazeti la sani duh hii hatari sana rudi ufute uchafu wako huku sio FB peleka huko huko uchafu huu!
Tatizo la huyo Mavi Designer anataka kushindana na huyu Linda kitu ambacho anajisumbuwa bure nia sawa kichuguu kushindana na mlima Kilimanjaro.
kivipi mzee mbona ni kama havina uhusiano kabisa,nadhania umedandia treni tena ya mwakayembe kwa mbele,huyu si ni sawa na mamake kabia sasa huoni wako lig tofauti,huyu mshindanishe na wazee wenzie kina asha baraka,madame rita,shyrose bhanji n.k.kimange kitoto cha chuzi tuTatizo la huyo Mavi Designer anataka kushindana na huyu Linda kitu ambacho anajisumbuwa bure nia sawa kichuguu kushindana na mlima Kilimanjaro.
Kwani hujaona ujumbe hapo juu!! Life start at 40 baby.......kivipi mzee mbona ni kama havina uhusiano kabisa,nadhania umedandia treni tena ya mwakayembe kwa mbele,huyu si ni sawa na mamake kabia sasa huoni wako lig tofauti,huyu mshindanishe na wazee wenzie kina asha baraka,madame rita,shyrose bhanji n.k.kimange kitoto cha chuzi tu
ndo akashindane na wenzake kina shyrose na madam rita sio kuonea watotoKwani hujaona ujumbe hapo juu!! Life start at 40 baby.......
Linda ana miaka 40 lakini ana mvuto kuliko huyo unayesema wewe ni kinda, wewe unadhani Oprah Winfrey pamoja na utu uzima wake utamfananisha na hao makahaba waliotumika sana kabla ya umri wao na kupoteza ladha kabisa!?