Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

bora ujinga huuwaze usiku unaweza jua labda ni ndoto unaota kuliko kuuwaza mchana kweupe.
 
Kwa sasa Awamu hii ya tano hawatumii katiba ya Tanzania kuitawala Nchi hii, wameamua kutumia katiba za Zaire na uganda za enzi ya marehemu Mabutu na idd Amin Dada, ni katiba zilizoruhusu Rais kuchukua pesa Benk kuu mda wowote hata usiku wa manane na kuzitumia kwa mambo ya hovyo hovyo ikiwemo kukandamiza Demokrasia, kujenga viwanja vya ndege vijijini kama marehemu Mabutu na sasa Mtukufu malaika toka chato na yeye kajenga uwanja wa ndege chato. huku akibadili Gavana bank kuu ili awe anamtuma Maliyamungu Bashite kuchukua pesa mda wowote, kwa kifupi serikali hii ya sasa ni shiiiiida.
 
kwa mkakati huu naona kbx anafanikiwa pakubwa na serikali ya JMT itatiwa dowa serikali itanyimwa mikopo

Duuuh. Ungejua sasa hivi hao jamaa wanabembeleza ili wampe mkopo msingeandika hizo pumba. Kuna pesa nyingi sana wafadhili wameleta zimekataliwa.
 
Naona jiwe akipiga uso ukutani na ile nundu ya kipanya lazima tuione live

tapatalk_1521266737314.jpg
 
Is this fact or fiction? Duh!
Jaman huna harakat Dada had this is tz madam ,utapata tuzo ya haki za binadam
mangekimambi=> Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru watanzania woooote mliojitokeza ku-Protest nchini Marekani, Germany, Sweden, South Africa and United Kingdom. Kwa huo huo uchache wenu mmeleta bonge la impact. .
Nawashukuru sana. .
.
Nilikwenda D.C bila kujua kama atatokea mtu hata mmoja. Nilikuwa tayari kuprotest peke yangu hapo nje ya ubalozi. Sikufanya any kind of ground work wala organization yoyote ile. Kwanza nilipata shock kuona hata idadi hiyo waliyojitokeza.
.
.
Diaspora we did our part kujaribu kuisaidia nchi yetu. Na nawaomba watanzania wa diaspora msi-give up sababu Watanzania walioko nyumbani hawakuandana. Inabidi tuwaelewe situation iliyowakuta also tukumbuke this was their first attempt.Tusiwa judge sababu sisi wenyewe hatujui kama tungeweza iwapo tungekuwa nyumbani.It’s always easier said than done. Ndio maana nimeshindwa kabisa kuwalaumu sababu sina haki ya kuwalaumu sababu mimi mwenyewe sijaface situation yao. Cha maana ni kuendelea kuwatia moyo. .
.
By the way Interviews ndio my worst nightmare. Hii ndio weakness yangu kubwa. Nilitiwa moyo sana na watanzania waliokuwa hapo kwenye protest kuwa I can do it ndio kidogo nikapata confidence ya kuongea. Hapa nilipo nna maombi ya interviews 10 kidogo ila nazipita hizo e-mail kama sizioni. Which is very bad sababu nikifanya interviews ndio tutazidi kusikika na international community. Kumbukeni bajeti ya tanzania inategemea misaada ya international community by 60% . So international community ikituelewa then wakamkatia kamba Magufuli itasaidia Magufuli kuacha ukatili. Na Ndio maana maandamano ya Diaspora ni very very important. Hasa kwenye ubalozi wa nchi zinazotoa misaada mikubwa Tanzania.
.
.
Pia naandaa maandamano kwenye headquarters za world bank ili waache kumpa Magufuli pesa. Wametoka kusaini mkopo mkubwa sana. So inabidi tuandae protest ili wasizitoe hizo pesa mpaka Magufuli aache ukatili na uminyaji wa demokrasia na unyanyasaji wa upinzani na aanze kuchukua hatua kali kwa polisi wanaouwa wananchiz Diaspora kazi yetu ya kuandamana ndio kwanza imeanza. Tusiache mpaka international community ione aibu kutoa hata senti moja kwa Magufuli. Kwa jinsi anavyopenda pesa ataacha ushenzi wake.
 
kwa mkakati huu naona kbx anafanikiwa pakubwa na serikali ya JMT itatiwa dowa serikali itanyimwa mikopo
Akili zenu za ajabu sana, mnaenda kushtaki kwa mzungu? Hakuna mtu mweupe hata mmoja anampenda mtu mweusi, hivyo msitegemee hao watu wao kwao maslahi ndiyo mhimu.
 
Akimaliza World Bank akafanyie mbinguni ,afadhiliwe Kwa hali na mali,
Lazima mfahamu kwamba hata hao wafadhili wenu wanajua support ya watanzania Kwa rais Magufuli ni kubwa sana, ndo maana ni wapole
Wapolee!! Acheni kutuchekesha!!
Ondoeni vikosi barabarani...ndio tutaamini wapole kweli!
 
Tanzania bila CCM inawezekana,CCM ndio imeleta balaa lote,CCM ndio janga la Tanzania hakuna mwengine wa kulaumiwa
Hata wewe umechangia unapaswa kulaumiwa, wakati nchi ilikuwa jalala ulifanya nini?? kwa nini watz waliachia nchi ikafika huko..hata kidonda sugu ili kipone lazima kisafishwe kitoke damu ndiyo ngozi mpya ianze kuumbika, kidonda hakiwezi kupona kikiwa kimejaa fungus..!
 
Hata wewe umechangia unapaswa kulaumiwa, wakati nchi ilikuwa jalala ulifanya nini?? kwa nini watz waliachia nchi ikafika huko..hata kidonda sugu ili kipone lazima kisafishwe kitoke damu ndiyo ngozi mpya ianze kuumbika, kidonda hakiwezi kupona kikiwa kimejaa fungus..!
Nakubaliana na wewe Mkuu,na mimi nimechangia katika hili janga la taifa linaloitwa CCM,lakini yaliyopita yamepita tutizame wapi tunaelekea kama taifa..
 
Wingi wa watu sio hoja,hoja ni kuwa ujumbe umefika,CNN,Aljazeera,BBC;DW na magazeti yote ya dunia siku ya 26/4 yalikuwa yanaongelea maandamano ya Da Mange..,kibogo yenu
Kwahiyo kama uliyaangalia huko.....tena CNN walipuuza haya matangazo na wala hawakuangaika na mambo ya kitoto kama hayo.
 
Kwahiyo kama uliyaangalia huko.....tena CNN walipuuza haya matangazo na wala hawakuangaika na mambo ya kitoto kama hayo.
Mkuu,amini media zote kubwa za dunia waliongelea maandamano ya Mange na utawala wa Magufuli siku ya 26/4,sio mambo ya kitoto,ubalozi wa Marekani na UK walitoa tahadhari kwa raia wake,labda wewe unajidanganya kuwa ni mambo ya kitoto lakini dunia inajua kuwa ni mambo ya kikubwa..
 
Mkuu,amini media zote kubwa za dunia waliongelea maandamano ya Mange na utawala wa Magufuli siku ya 26/4,sio mambo ya kitoto,ubalozi wa Marekani na UK walitoa tahadhari kwa raia wake,labda wewe unajidanganya kuwa ni mambo ya kitoto lakini dunia inajua kuwa ni mambo ya kikubwa..
Tukio dogo sana hilo baada ya 26/4 huwezi kukuta media zinajadili jambo hilo...kilichotegemewa kutokea hakikutokea thats why nasema ni jambo dogo sana.
 
Umeshasema mkopo meaning Tanzania ni client kwa Wb ; nani aache kufanya biashara kwa Kelele za mtu mmoja ambazo hazina ushahidi wowote;

Chadema walilala pale balozi za EU watupe feedback nini kilijiri.

Let us not waste our time with this lady..
Kwanza hao world bank wana contact na rais wa nchi muda wowote na wanajua nia ya rais kwa taifa hili ni njema hivyo maadui wasiopenda maendeleo hufanya kila njia ili kuvuruga mipango kwa interest zao kwa hiyo usitarajie huyo mala.ya wa kipare kufaulu chochote
 
Back
Top Bottom