Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

Ina maana hujui mange anapigania nini?

Ben saanane yuko wapi?
Na wengine wengi waliopotea.

Magufuli hawezi kuiweka hii nchi mfukoni kwake.

Are you serious. Tz majinga Mengi. Mange hana uchungu hata wa upele. Ni mdangaji. Kama we mzima. Kamchallenge. Kama hujatukanwa. Sasa huyo ni mtu Mnyama.
 
Sijui kwa nini mtu anaweza pima upingwaji wa Rais sasa hivi lakin hawezi ona uharibifu uliokuwepo kabla Rais huyu hajaingia madarakani..nchi hii ilikuwa mzoga!! kila aina ya uchafu ilikuwa umeweka makazi hapa..makampuni makubwa hasa ya madini yalikuwa yameweka mirija kunyonya rasilimali zetu yalikuwa yamenunua viongozi ndio maana hawakuwa tena wanatetea masilah ya nchi..kumbuka ile tume ya kupitia sheria mpya za madini ambapo hata baada ya ripoti kukabidhiwa kwa muunda tume badala ya kutujulisha kile kilionekana na tume yeye aliwakimbizia rafiki zake nje na wao bila hata kuwaza na jinsi walivyokuwa wanatudharau wakaandikiana kufahamishana kuwa hakuna lolote litafanyika kubadili sheria za madini..na ndivyo ilivyokuwa, hatuwezi kuendelea kudharauliwa hivyo, wapo waliojenga empire za kikabila, kidini, kiukoo nk..yote hayo yalikuwa kama jambo la kawaida, amepatikana jasiri wa kukomesha ujinga huo LAZIMA wahanga watasimama kupinga! HAWATAWEZA! watafute mambo mengine ya kufanya..mange amejitoa akili hafikirii hata hatari anayotembea nayo ya kufanya watoto wake mwenyewe kukosa mama yao ktk umri huu sababu eti anatetea watanzania..si kweli kipo kitu amepewa chenye thamani zaidi hata ya watoto wake!
Tanzania bila CCM inawezekana,CCM ndio imeleta balaa lote,CCM ndio janga la Tanzania hakuna mwengine wa kulaumiwa
 
Sasa kama anaandamana na watanzania kama 10 hivi nje ya ubalozi wetu pale Washington DC na yeye anaona hayo ni mafanikio basi aendelee tu kuandamana huko aliko akitoka World Bank aende na UN the amalizie IMF.

Then asubiri kutunukiwa Tuzo za Haki za binadamu na mashirika mengine yanatunuku Tuzo kwa wanaharakati baada ya kufanya tukio fulani kama Abdul Nondo
Wingi wa watu sio hoja,hoja ni kuwa ujumbe umefika,CNN,Aljazeera,BBC;DW na magazeti yote ya dunia siku ya 26/4 yalikuwa yanaongelea maandamano ya Da Mange..,kibogo yenu
 
Who will pay the price?
How many will loose their lives?
How many people will suffer on that situation?
We are not iron, Treat us like human being.
 
Mkubali mkatae huyu DADA kuna WATU WAPO NYUMA YAKE(mostly walioguswa maslahi yao na AWAMU hii)....she is not smart at all kuyafanya haya anayo yafanya sasa kwa tunaomjua tokea TUKIWA WATOTO PAMOJA,.......na ni lazima watakuja kivingine sasa...Either kwa kukutengeneza vikundi vya KIKAGAIDI au kuanza kufanya mauaji yanayoendana na UGAIDI lengo ni kutengeneza chuki baina ya serikali na WANANCHI...ni suala la muda tu
I think wamo ndani ya serikali na ndani ya chama wakishirikiana na upinzani
 
Hii itakuwa kama mimba isiyotarajiwa ila mtoto atazaliwa. Kama kwenye foleni wewe mbele mie nyuma.
 
Mkubali mkatae huyu DADA kuna WATU WAPO NYUMA YAKE(mostly walioguswa maslahi yao na AWAMU hii)....she is not smart at all kuyafanya haya anayo yafanya sasa kwa tunaomjua tokea TUKIWA WATOTO PAMOJA,.......na ni lazima watakuja kivingine sasa...Either kwa kukutengeneza vikundi vya KIKAGAIDI au kuanza kufanya mauaji yanayoendana na UGAIDI lengo ni kutengeneza chuki baina ya serikali na WANANCHI...ni suala la muda tu
Usiandike hisia tu. Wataje watu hao ndipo uaminike
 
Uwezo wa Mange kuchanganua mambo ya dunia ni mdogo sana,ndio mana Le Mutuz alimshauri arudi kwenye udaku
World bank wanapingwa hata huko.marekani kwenyewe,tumeaona maandamano seattle na kwingineko wakipingwa world bank,itakua kichekesho kufanya maandamano kuwaambia wasifanye biashara,,
Itakua vizuri kama atafanikiwa maana mikopo yao ina masharti mengi ya ajabu
Mhmhm! Mkuu, kama ina msharti mengi na ya ajabu mbona hamuiachi?
 
Umeshasema mkopo meaning Tanzania ni client kwa Wb ; nani aache kufanya biashara kwa Kelele za mtu mmoja ambazo hazina ushahidi wowote;

Chadema walilala pale balozi za EU watupe feedback nini kilijiri.

Let us not waste our time with this lady..
Tanzania ni "donor" kantri. Mkopo tena? Wa nini?
 
Mkubali mkatae huyu DADA kuna WATU WAPO NYUMA YAKE(mostly walioguswa maslahi yao na AWAMU hii)....she is not smart at all kuyafanya haya anayo yafanya sasa kwa tunaomjua tokea TUKIWA WATOTO PAMOJA,.......na ni lazima watakuja kivingine sasa...Either kwa kukutengeneza vikundi vya KIKAGAIDI au kuanza kufanya mauaji yanayoendana na UGAIDI lengo ni kutengeneza chuki baina ya serikali na WANANCHI...ni suala la muda tu
Manyanyaso mikopo ya kuangamiza cdm
 
Chuki dhidi ya serikali ni ya kujitakia kwani ubaya wote dhidi ya Wapinzani umenaletwa na serikali, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela, kuwadhalilisha, kuwabambikia kesi Wapinzani ni kutengeneza chuki za makusudi, mshauri Mtukufu malaika toka chato aache Udikteta hakuna Mtanzania ataendelea kumlalamikia
 
Back
Top Bottom