Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

vp kuhusu bunge live na mikutano ya siasa?
Wakati bunge linarushwa live kulikuwa na impact gani inayokosekana sasa hivi?? pamoja na wizi na ufisadi wote kuibuliwa bungeni hatua kujadiliwa kwa uwazi na juhudi za marehemu Mzee Sitta akiwa spika kuwa fair..ulisikia hata watz wanaandamana kuunga mkono juhudi hizo??? jamii ya watz kifrikra iko dhaifu sana tunapaswa kwanza kuamini katika kufanya kazi!!! mambo ya kukaa unatizama bunge laivu yatakupa chakula kwa familia yako?? au hiyo mikutano itakupa nini cha faida ambacho huna?? kwa mtu ambaye fikra yake iko busy kujikwamua hana muda na bunge laivu s not a priority!
 
hivi siku bwana mkubwa akiamua kung'atuka, ninyi wenye midomo mirefu kama ya kuku mtakuwa wageni wa nani? huwa najaribu tu kufikiri.
Swali fikirishi kwa wanalumumba lkn sidhani kama kuna nyumbu yeyote wa lumumba ana hili wazo kichwani mwake
 
Kafanikiwa sana,International media zote zilikuwa zinaongea maandamano ya Mange,CNN,BBC,Aljazeera nk",International comunity" wameanza kuona na kufahamu nini hasa kinaendelea Tanzania kisiasa,..

Kosa kubwa walilofanya serikali ya Magufuli pale walipotumia nguvu kubwa za polisi na Jeshi ili kuyazuia yale maandamano.,maneno makali ya kutisha raia yalitolewa na baadhi ya viongozi dhidi ya raia,Mkuu International community inaitazama Tanzania kwa jicho jengeni kabisa hivi sasa,.

Hahahah maneno ya kujifariji watanzania mafisadi.cha moto mtakiona mlizoea kuibia watanzania ngoma hadi 2027. Na nchi itakuwa imekaa tambarare
 
World Bank ina'survive' kwa kutoa mikopo kwa nchi husika. World bank siyo political body! Mtieni akili. Nilikuwa sahihi kuwatilia mashaka baadhi ya diaspora wetu.
===
 
Pengine laana wanayo wazazi wako Kwa kushindwa Kukupa Malezi bora
Wewe una male I bora ungeng'ang'ania kuingia kwenye ndege ukililia mti wewe hivi hata kwenye hesabu ya mtoto unajihesabia unga kuwa unagongwa na majiti mpaka na Magog Tena na wanawake
 
kwa mkakati huu naona kbx anafanikiwa pakubwa na serikali ya JMT itatiwa dowa serikali itanyimwa mikopo
Muda utaongea, japo mlengwa haonyeshi kubadili.
Pamoja na yote kwa mara ya kwanza mwanamke ameitikisa serikali
 
Akimaliza World Bank akafanyie mbinguni ,afadhiliwe Kwa hali na mali,
Lazima mfahamu kwamba hata hao wafadhili wenu wanajua support ya watanzania Kwa rais Magufuli ni kubwa sana, ndo maana ni wapole
Ni kweli, wanamsapoti kwani wanafika bei
 
Unaweza kuelezea sababu za WB kupingwa huko Marekani, Seattle in particular? Kisha tuone kama sababu za Mange hazihusiani na violation ya baadhi ya terms and conditions za mikopo ya WB!
Mange hawezi kuwapa world bank taarifa za violations za human rights WB.
WB wana muakilishi mkazi hapa nchini kazi yake ni ku assess pre conditions zote,na sio kumtegemea Mange
 
Mkubali mkatae huyu DADA kuna WATU WAPO NYUMA YAKE(mostly walioguswa maslahi yao na AWAMU hii)....she is not smart at all kuyafanya haya anayo yafanya sasa kwa tunaomjua tokea TUKIWA WATOTO PAMOJA,.......na ni lazima watakuja kivingine sasa...Either kwa kukutengeneza vikundi vya KIKAGAIDI au kuanza kufanya mauaji yanayoendana na UGAIDI lengo ni kutengeneza chuki baina ya serikali na WANANCHI...ni suala la muda tu
niliangalia wiki iliyopita picha moja inaitwa white slave jinsi mwafrika alivyotumika kuwapeleka wazungu wakawaue waafrika wenzake kisha yeye anabaki kwa wazungu akitumikishwa.
sasa sioni tofauti na hili kundi kwa kuwa wapo tayari watu wafe kwa kukosa dawa kwa ajiri ya ubinafsi wao, barabara zisijengwe kwa ajili yao tukiuliza tunadai demokrasia kwakuwa Magufuri dikteta lakini ni hawa hawa waliokuwa wakihitaji utawala wa namna hii!
sawa lakini ole wenu kama mnachopigania kina maslahi yenu binafsi kwa na si kwa taifa naamini mkono wa MUNGU hautawaacha kwa kuwa MUNGU wetu utawala kwa haki!
hao mnaowakimbilia wanatucheka kwa kuwa ndio wanotuchonganisha kila siku kwa maslahi yao na wanafanya maovu kuzidi sisi achilia mbali kuwa sisi bado ni mataifa machanga ukilinganisha na wao. mimi naamini wao mataifa yao yalipokuwa na umri huu hawakuwa na mafanikio tulio nayo!
jipangeni tena kuua vijana wetu ili nguvu kazi ipungue kwa kuwa kuna uwezekano immeamua kuuza nchi kwa ncha ya kisu.
 
Hii post ndani ya masaa machache tu tayari ina "views" karibu 15,000!!

Hii ni kuonesha kwamba huko kwa JIWE mambo motoooo, wanauma na kugegeda meno kwa hasira!!

Na kibali cha kuandamana Marekani watakipata kwa ulaini tu na kweli kabisa wataandamana tena wakilindwa na polisi...

Juzi kulikuwa na maandamano huko ya wanafunzi kwenda kwenye majengo ya Bunge na White House (Ikulu ya Marekani) kupinga masharti rahisi ya sheria ya umiliki wa bunduki ambapo zimezagaa mitaani na kutumika kuuana hovyo....

Najaribu kupiga picha ya sijui ingekuwaje hapa Bongo watu waaonesha "intention" tu ya kuandamana kwenda Bungeni ama Ikulu kupeleka ujumbe fulani...!!
 
h
Mange hawezi kuwapa world bank taarifa za violations za human rights WB.
WB wana muakilishi mkazi hapa nchini kazi yake ni ku assess pre conditions zote,na sio kumtegemea Mange
hapa huwa najiuliza sana inawezekana mawazo yetu yapo likizo au tujitoe kwenye jf kwa kuwa sioni vichwa vilinavyowaza mambo kwa kina na mbaya zaidi ukisema ukweli unatukanwa kisa hujakaa katika wimbo wanaouimba wao!
 
Back
Top Bottom