Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

JOFFREY BARATHEON

Senior Member
Jun 26, 2014
107
195
OTH_7662.JPG



Hali ikiendelea kwa speed ambayo inaendelea na hizi tuhuma nzito ambazo zingine zilishawahi kutolewa dhidi ya Sheikh Mkuu wa BAKWATA wa Mkoa wa Dar, then sioni kwa nini Paul Makonda's favourite sheikh abaki ndani ya ya NGO ya BAKWATA.

Miaka michache iliyopita tuhuma dhidi ya Alhadi Mussa zilitolewa tena kwenye front page (na moja ya red top tabloid`) lakini ile issue iliisha hivi hivi..

Tusisahau kuwa hawa hawa BAKWATA waliwahi kukutwa na hatia ya ukwepaji kodi na bila kusahau ufisadi wa kutupwa wa viongozi wao kujilimbikizia mali za waumini wanaoamini hii NGO na pia kuuza au kuingia mikataba ya kifisadi kinyume na utaratibu.

Zaidi walipoamua kwenda kumwomba pesa Mh. Rais aliwanyima na kuwaambia kuwa BAKWATA wanazo nyumba na ardhi kuwa sana kwenye nchi hii baada ya NHC na wizara ya Ardhi hivyo hawezi kuwapatia hand out. Aliwaambia waende wakajitathmini na wafanye auditing ya mali zao nchi nzima na wajipange wenyewe badala ya kwend akuomba omba pesa Ikulu. N akilichomshangaza zaidi Mheshimiwa Rais ni kitendo cha Sheikh Mkuu wa Bakwata kungangania wajengewe msikiti na mfalme wa Morocco badala ya University yenye hadhi kama ya University of Dar es Salaam na yenye faculties kama za Law, Medicine, Islamic Studies, Business, Oil and Gas na Humanities to name a few.

Naamini kuwa Mheshimiwa alifanya jambo jema sana kuwatolea nje kuwapa hand out, na sidhani kama Home Shopping Centre (HSC) wanawasaidia Bakwata kwa kujenga ofisi zao mpya. Mbaya zaidi ni alama za nyakati zime catch up na BAKWATA. Zama za wao kupewa priviledge kuliko NGO zingine zinazowakilisha waislam zimekwisha, kwa kifupi BAKWATA wameshindwa ku adapt na mazingira ta dunia ya leo na mwishowe NGO inaelekea kuangushwa from within tokea sheikh Al Hadi Mussa kumtolea vitisho Dada Mange Kimambi kupitia vyombo vya habari.

Mange kama kawaida yake naye kaamua kujibu mapigo na naamini kuwa hili jambo likiendelea kwa muda wa masaa mengine 72 basi nafasi ya Al Hadi Musa, bodi ya udhamini na menejimenti nafasi zao zitakuwa untenable kwa sababu watakuwa hawana moral authority yoyote ile mbele ya watu wanaoifuata hii organisation.

Maybe....maybe, survival yake itabaki kwa viongozi wake kujiuzulu na kukaa pembeni (katiba yao haijulikani inasemaje kwenye mambo haya) na pia itatoa nafasi kwa viongozi wa muda kuteuliwa ili kuandaa mazingira ya uchaguzi mpya ambapo naamini line up yao kuanzia bodi ya udhamini itakuwa na imejaa PhD's na wasomi waliobobea kwenye masomo ya Theolojia na elimu ya secular kama ilivyo organisations za wenzao wa Kenya yaani Supreme Council of Kenya Muslims (SUPKEM), au Council on American–Islamic Relations (CAIR) au Muslim council of Britain (MCB) . Maybe maybe, nusra ya BAKWATA imekuja kwa kupitia Mange Kimambi na who knows, Bakwata wataweka leadership, katiba, michango, projects, investments na audited accounts online kama wanavyofanya wenzao wa NGO zingine za kidini kama Khoja Shia Ithnasheri na kadhalika.

Ohhh ile ripoti ya uhakiki wa mali zao nao wameipiga kibondoni.
 
Kiasi Rais Magufuli awatolee nje hawa hawa watu. Hawana credibility yoyote ile to speak of.

Inakuwaje wanaomba omba huku wanamiliki majumba na ardhi kubwa sana kwenye nchi hii?

Na hii ya huyu Mussa vs Mange naona itakuwa ndio salama yao kwani itabidi wajipime kisawa sawa kama kweli wana uwezo na ridhaa ya members wao kuwaongoza watu
 
Sidhani kama kuna kiongozi ndani ya Bakwata ana diploma let alone degree au PhD kwenye mambo ya theology au Business au Law au Medicine

Bora hao wa organisations zingine kama za ma shia au islamilia au wengine.

I cant imagine walipokwenda kumwomba magufuli conversation ziliendaje lakini I'm sure he was less than pleased na hasa kama huyu Mussa alikwepo kwenye jopo
 
BAVICHA ninawashangaa kitu kimoja MTU ambaye akijishirikisha na siasa za Upinzani kama Kakobe, Gwajima na Shoo ndo wanamuona was maana Lakini Kiongozi yeyote anayeonekana anashirikiana na serikali anakuwa Adui yao. Nawashauri muheshimu Mawazo ya MTU na Uhuru wa MTU wa Kutoa maoni siasa za Chuki haziwezi kutufikisha kokote wala kutuongezea idadi ya Wapiga kura katika vyama vyetu
 
Back
Top Bottom