Haya basi...'mtu mzima huwezi kwenda kula ugali wako na dagaa Kempinski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini..' Hio imekaaje mkuu?
Aliyepigwa ni mwanamke na yeye mwenyewe(aliyepigwa) kaweka msisitizo kwenye hilo.Kasema jinsi bra yake ilivyovutwa,matiti yake yalivyokuwa exposed,please tell me if that was a man he would use the same description.
Kupigwa au kudhalilishwa kunatofautiana baina kitendo hicho kufanyiwa mwanamke au mwanaume...hata approach ya mpigaji mwenyewe inakuwa tofauti.Mwanaume utasikia 'walishikana mashati'.Sasa kama hio inasema wanawake ni weak,sijui...lakini i'm sure hata kwako kama kitu kinahitaji nguvu,lazima ataitwa baba,sijui...
Bimkubwa my friend.....what does him coming from Bunda have to do with anything? Stereotypes?
umeuliza, mara gafla ukajijibu... you are truly a character!!! BTW ule utetezi wako kwa masha ulikusaidia?
Mwenzangu!! Sometimes certain things are inevitable. There is alot of heresay as well as stereotypes that results from behaviours and habits people have repeatedly done.
Stereotypical views may seem harsh at times but when people like my educated brother Magai prove them, it just adds salt to the wound and proves the old adage of people from Mara.
Have you not heard about Kikuyus being thieves,
Pare women killing husbands,
What about our brothers the Nigerians?
Mara ngapi tunasikia mtu anaambiwa tena na mwnamke 'unalalamika/unalia/unaendesha gari kama mwanamke...' do they mean it literaly?
Labda hamjawahi kupita uswahilini,hayo mambo huko hutokea kila siku,wengine tunakaa huko,na huo ndio mfano wangu,sio kwamba nashabikia kitendo cha mwanamke kupigwa.
...Mtu mzima na akili zako huwezi kufanya mambo kama hayo Kempiski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini,ambapo kila mu atawahi kusema kuwa mwanamke yule ni malaya tu!
Kuhani asante kwa hili jibu, halafu huyo Zanaki ni mwanamke na anataka kuhalalisha hii kitu kama ikitokea uswahilini, kweli tuna safari ndefu.Yes, they mean it literally!
Wanamaanisha, kwa fikra zao, kwa mawazo yenu, mwanamke ni mtu weakling weakling, hayuko rafu rafu akiendesha gari, kazi yake kulia lia, udhaifu na kulalamika. Nyinyi msemao hivyo mnamaanisha literally!
Na wewe ulipomlaumu Magai kwa kumpigia Kempiski badala ya bar ya uswahilini umeharibu. Just because hayo mambo yanatokea kila siku uswahili haina justify kwamba ni sawa.
Unasema kama hatujapita uswahilini, okay, sasa wewe "uliyepita" uswahilini na mimi ambae sijapita nani anakujali zaidi huko Uswahilini, mimi au wewe unaeshabikia kwamba ili Magai aonekane mtu mzima mwenye akili zake basi amchukue mwanamke akambwengee kwenye bar za Usweken kwa sababu huko watu watasema mwanamke "malaya tu"! Zanaki unaharibu, kataa usikatae.
"Kupita uswahilini"! Tena usije ukajichanga mitaa ya kati kumpiga mwanamke "kwenye bar uswahilini." Kuna anga fulani fulani tutagombania na utakuona kuchungu usije "kupita" tena. Na huko Kempiski kwenyewe na sisi "tukipita" tukakuta unamshauri Magai amlete mwanamke kumchapia usweken tutawarukia wewe na Magai!
Huyu Mange Kimambi hachelei kumprovoke mtu mwenye pesa kwa ajili ya kutaka uhusiano, au kutaka pesa. Anatumia UISLAM NA UANAMKE kutafuta symphathy kisheria na kijamii.
Na huyu mwanasheria naye ameshindwa kujua kwamba hutakiwi kumpiga mtu yeyote yule, hatakiwi kuchukua sheria mkononi.
Kuna mwenye picha ya huyo Mange
She also demands general damages for loss of reputation as an unmarried Muslim girl
I pray that she pleads character evidence in court so that we can have an opportunity to hear from the other side. Mh. Kuhani you got me, right!
Ms Kinambi and her two friends, namely, Nafue Nyange
yah man mtoto wa mama anna kilango malecela....Huyu Nyange ndo yule anaye tajwa tajwa kwenye zeuchungu.com?
aaaah utamu hafai utamu hafai......mnajionea wenyewe......huyu mange kaolewa dubai huko na mshefa.....alikwenda kutafutani na mabwana za watu?...
.......nionavyo kuna conflict of interest kati ya magai 4 what i know they were lovers b4........
Na wakome mijitu inayopenda kudhalilisha wanawake! Sasa mwnasheria mzima anafanya vituko vya kariakoo? Wacha ashtakiwe na ikiwezekana amlipe dada fidia yote anayodai!
Hawa wanajuana toka zamani but Magai. Shame on you man!!
aaaah utamu hafai utamu hafai......mnajionea wenyewe......huyu mange kaolewa Dubai huko na mshefa.....alikwenda kutafutani na mabwana za watu?...
.......nionavyo kuna conflict of interest kati ya Magai 4 what i know they were lovers b4........
aaaah utamu hafai utamu hafai......mnajionea wenyewe......huyu mange kaolewa Dubai huko na mshefa.....alikwenda kutafutani na mabwana za watu?...
.......nionavyo kuna conflict of interest kati ya Magai 4 what i know they were lovers b4........
yah man mtoto wa mama anna kilango malecela....
Isingekuwa habari ya maana wala tusingekuwa tunaijadili hapa JF sasa hivi. Sikumbuki kuona habari za kwenye magazeti ya Shigongo zikipewa uzito kwenye mjadala wowote hata JF!
Naomba niulize maswali machache sana maana hawa 'vijana' waliopigana/kupigwa wana umri gani? I need to understand the context kwa kweli.
Huyu Magae ni mume wa mtu au ni msela?
Because I just do not get it. This day and age? Inawezekana ni mambo katika rika fulani maana mzee mzima nimeshindwa