General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Who behind Mange?Mange Kimambi ni mdada wa mjini, mtoto wa marehemu Jumanne Kimambi alikuwa mfanya biashara mashuhuri miaka ya 90. Mange alipata mchumba mchuma wa kimarekani wakati akiwa anaishi Dubai na alifunga ndoa Dar. Ni mama wa watoto watatu na anaishi Marekani. Amaeachwa na mzungu juzi tu, wino kwenye karatasi ya talaka haujakauka bado.
Huyu dada kuna watu wapo nyuma yake, anafanya hivi kama kazi.