Mange Kimambi afunguka kuhusu Ufisadi wa Vodacom

Status
Not open for further replies.
Asanteee, yaani hakuna cha mchina wala original shoga.Mimi natumia kitu original kutoka South Korea lakini ndio hayo hayo....
Aigooooo!

Mi natumia mmarekani nipo fiti tu pole aigoooooooooo huuuhuuh
Naangalia the Giant huhuuu ni shidaaaaaa
 
Kwa hili nampongeza Mange. Ameonyesha na kuthibitisha kuwa amajitambua na ana uchungu na nchi yake
 
Jamani Mange ameonyesha ana uchungu na nchi yake. Tatizo liko wapi

Mange ana uchungu wa kupigwa chini udhamini na vodacom, haya ni matunda ya kampeni tuliyoianzisha muda mrefu kupinga pesa zetu wateja wa Vodacom kudhamini wahuni kama Mange ila Mwamvita Makamba ndio alikuwa anamkingia kifua sasa yametimia.

Niliacha kutumia Vodacom kwa sababu ya Mange na Rostam Aziz pesa yangu nilikataa kwenda kuwanufaisha hawa mashetani wawili.
 
Bado Mange kwa hili la kukemea rushwa she deserves tons of credits.
I ain't give no shit about none ya'll say 'bout her
 
Bado Mange kwa hili la kukemea rushwa she deserves tons of credits

Punguza ukasuku Mange amepigwa chini ndio maana anatokwa mapovu, search humu JF mimi nilianzisha thread Boycot Vodacom nikihamasisha Watanzania kujotoa vodacom wakati huo Mange akiwa ni mmoja wa wanafaika wa Vodacom eti leo yeye ndio wa kuinyooshea kidole voda? Akafe mbele tena Lowasa siyo size yake anapress wrong button ambayo hata amiri jeshi mkuu anaiogopa.
 
Hata st Paul alikuwa jambazi kabla hajawa mwema na kuamua kumfuata Kristo
Go Mange!
 
Wakati anakula mapesa ya voda hakuyajuwa haya? Au kuna jipya gani labda kwa mfano? Lile jumba la Mwamvita Makamba Mtanzania gani anaweza kumiliki kwa pesa halali? Mkuu unatia aibu bure hapa jamvini.

Wewe ndio unatia aibu kutokemea rushwa sababu hujitambui
Unaongea kama mzururaji na sasa nakubaliana na sheikh Kahtaan kuwa wewe ni mzururaji
Linapokuja suala la kukemea ufisadi spindishi kona wala kumununya maneno.
Uwezo wako wa kufikiri umekomea hapo.
Mange ameongea ukweli.
Educate yourself dude!
Rushwa sio jambo la kulifumbia macho haijalishi kama mleta hoja ni Mange au Matola
 
Wewe ndio unatia aibu kutokemea rushwa sababu hujitambui
Unaongea kama mzururaji na sasa nakubaliana na sheikh Kahtaan kuwa wewe ni mzururaji
Linapokuja suala la kukemea ufisadi spindishi kona wala kumununya maneno.
Mange ameongea ukweli.
Educate yourself dude!

Huenda mnafanana akili na Mange ndio maana unaona kama kuna jipya aliloongea, Mange ni msakatonge tu na amekatiwa line.

NI sawa na Michuzi blog baada ya Kikwete kuachia madaraka na yeye kuwekwa pembeni aanze kuiponda Ccm kwenye blog yake, watu makini tutaampuza kwa unafki wake kama wa Mange na wenye akili za kuvukia barabara kama wewe utainuka kukata viuno kushabikia ujinga.

Mtu makini huwa anashambulia hoja na siyo kuniita mimi eti sijui mzururaji call me whatever hunijui sikujui, hunilishi sikulishi na sipo hapa kwa ajili ya friend request nina marafiki wa kutosha, ila inashangaza mtoto wa kiume kutajataja majina ya wanaume wengine sijui unahitaji backup gani? Hizo ni tabia za kipashkuna na kimalaya.
 
Mzururaji Matola emancipate yourself from mental slavery
Panua huo ubongo na uache uvivu kwa kufikiri
 
Hutoshi unapwaya sana, wewe ni same category na Mange, mimi si tu mzurururaji pia ni jobless usipunje wasifu wangu.

Wenzako busy guys saa hizi wapo busy kuhesabu madolali wewe unapoteza muda wako na jobless nakusikitikia.
 
Wewe ni mzururaji tu kama alivyosema sheikh Kahtaan una uvivu wa kufikiri
 
Mimi si mzurururaji tu ni jobless pia, jenga hoja Mange ana guts gani leo za kuishambulia Voda baada ya kuondolewa high table kwenye kula mema ya nchi?

Usitafute pa kutokea khataan hausiki na topic hii, kama ni boy friend wako kuna sehemu zenu mtakutana huko, hapa simama kwa miguu yako.
 
Whether huyo Mange au mzururaji Matola aishambulie vodacom jana, leo au mwaka juzi haijalishi what matters the most is the condemnation of the grand corruption scourge which is eating this nation alive. Period!
Stretch up your brain dude!
 
Nimekwambia niite mzurururaji jobless, huna hoja unaleta viroja wenzako ambao wako busy hawana muda wa kupoteza na wazururaji kama mimi, angalia tangu umeanza kurepy post zangu umetumia masaa mangapi mpaka dakika hii? Unajuwa busy people wameingiza pesa kiasi gani wakati wewe unabishana na mzurururaji nisiyekuwa na hata cha kupoteza?

Eti Mange ndio role model wako! Kweli dunia haaishiwi vituko hizi bikini anazowapa kama vijizawadi mvae mdio zinawatia upofu?
 
As I've said time and time again, mr mzururaji Matola, do yourself a big favor by stretching out your precious brain.
People like you a detrimental to our beloved bohemian society
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom