Mange Kimambi afunguka kuhusu Ufisadi wa Vodacom

Status
Not open for further replies.
Mange achemka kumcheka alichosema Diamond kuhusu DNA sex us mtoto kujua jinsia

Kumbe kweli kupata masterz sio maana una akili zaidi ya walioishia f4 na wamejifunza kimombo juzi

Shame

" 9th August 2011
Some prenatal gender tests that use mom's blood are very accurate at determining baby's sex, a new study finds. But curious parents-to-be should be wary of online marketers that claim to be able to figure out fetal gender using just a woman's urine.

New research to be published Aug. 10 in the Journal of the American Medical Association finds that after seven weeks into a pregnancy, tests that analyze mom's blood for fetal DNA can correctly identify-a male fetus-95.4 percent of the time and a female fetus 98.6 percent of the time on average. In comparison, tests that analyzed DNA from urine instead of blood were only accurate 41 percent of the time, said study researcher Diana Bianchi, a reproductive geneticist at Tufts University School of Medicine.

"It was worse than flipping a coin," Bianchi told LiveScience."
 
Huyo ndio role model wa AL SHARPTON
 
Last edited by a moderator:

Mange kasomea ujinga, na tataizo ana amini katika misukule kuendelea kuijitangazia ujinga wake hadharani, hivi mtu unawezaje kushawishiwa na mashabiki ambao huwajui na wanatumia majina fake, kutukana watu hadharani? Tena misukule inakugombanisha na marafiki ulikokuwa unakula na kulala nao, na jinsi alivyo mjinga anaipa class hiyo misukule yake mpaka ana mawaziri mwisho wanalipwa mitumba ya nguo zake, waziri mkuu koku anasubiri pochi ya CL mwaka unaisha sasa na mange bado anaitumia tu, eti muke ya mzungu tajiri pyee wasomi wengine bwana majanga tu.
 
Pochi ya CL ndo pochi gani mwenzetu miye najua kiatu cha CL na pochi ya LV
 
Mange achemka kumcheka alichosema Diamond kuhusu DNA sex us mtoto kujua jinsia

Kumbe kweli kupata masterz sio maana una akili zaidi ya walioishia f4 na wamejifunza kimombo juzi

Shame

" 9th August 2011
Some prenatal gender tests that use mom's blood are very accurate at determining baby's sex, a new study finds. But curious parents-to-be should be wary of online marketers that claim to be able to figure out fetal gender using just a woman's urine.

New research to be published Aug. 10 in the Journal of the American Medical Association finds that after seven weeks into a pregnancy, tests that analyze mom's blood for fetal DNA can correctly identify-a male fetus-95.4 percent of the time and a female fetus 98.6 percent of the time on average. In comparison, tests that analyzed DNA from urine instead of blood were only accurate 41 percent of the time, said study researcher Diana Bianchi, a reproductive geneticist at Tufts University School of Medicine.

"It was worse than flipping a coin," Bianchi told LiveScience."

Sijui na ww ni division 6, Mange hajasema haiwezekani ameema ni too ni too risky sababu na technology haijafika Africa.

"huwezi kuifanya mtoto akiwa tumboni kwa mama, mpaka azaliwe, ndo maana mastaa wa huku mbeleeez akitokea demu anadai mimba ni yake basi inabidi isubiriwe demu azae ndo wafanye DNA…Technically, yes it is possible kufanya DNA mtoto akiwa tumboni kwa mama ila hakuna daktari Tanzania wala Africa mwenye uwezo wa kufanya hii procedure safely maana it is very intrusive na inaweza kutoa mimba mara moja. Na hata huku mbelez hakuna daktari atakae kubali kumfanyia mjamzito procedure kama hiyo eti kisa kujua jinsia ya mtoto au kujua baba wa mtoto maana ni kitu ambacho kinaweza kusubiriwa for a few months mtoto akazaliwa na kikafanyika bila kuhatarisha maisha ya mtoto, yani labda kuwe na sababu ya maana mnoo au tatizo kubwa ndo daktari kweli atafanya hii procedure ya kuvuta damu ya mtoto au kuvuta maji yanayomzunguka mtoto akiwa tumboni kwa mama yake…. Kwa nchi zilizoendelea kama marekani au maulaya huko wana procedure mpyaaa kabisa ya kupata dna mtoto bado akiwa tumboni bila kumchokonoa mtoto ila ni technolojia ambayo iko very advanced tuipe miaka kidogo mpaka ifike huko kwetu tena nahisi haitofika maana its not important…Ikiwa MRI tu bado hazitoshi hakuna atakae hangaika kuleta hii ambayo hana hata maana ya kihivyo…"
 
Mie najuaga ni wewe unayejibu topic zako

Hata kama ningekuwa na div 10

Niliyoquote yanasimama bafo hata uandike nini.

Na kwa taarifa yako sisomagi magazeti ya hiyo blog, nimekuta mahala kachwambwa nami nikatusha humu.

Ona inawezekana mara sasa Afrika haiwezekani acha kupotosha watu...na kudharau Africa... kesho utasema kijijini...khaaaa

Embu pita kimya kimya

Mniache mie enjoy kwenu hapo naona wameleta na mpya wanachamba

Pichani

Ukitaka kuwajibu kawasake insta na whatsapp
 
Attachments

  • 1432485524771.jpg
    1432485524771.jpg
    35.8 KB · Views: 294
Mie najuaga ni wewe unayejibu topic zako

Hata kama ningekuwa na div 10

Niliyoquote yanasimama bafo hata uandike nini.

Na kwa taarifa yako sisomagi magazeti ya hiyo blog, nimekuta mahala kachwambwa nami nikatusha humu.

Ona inawezekana mara sasa Afrika haiwezekani acha kupotosha watu...na kudharau Africa... kesho utasema kijijini...khaaaa

Embu pita kimya kimya

Mniache mie enjoy kwenu hapo naona wameleta na mpya wanachamba

Pichani

Ukitaka kuwajibu kawasake insta na whatsapp

Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Huwezi kuwa mtu wa kucopy na ku paste na hyo ndio inaonyesha kipimo cha akili yako.
NI kweli una admit uliona watu wanasema ukaamini kwani hata ku Google huwezi? Hiyo inaonyesha akili za wabongo wengi, acha kukarirI rudi shule kwani hujachelewa ili ufute hizo division 6
Siwezi kujibishana na mtu km Linda anayejivunia umalaya
 
Hebu nipe tafsiri ya malaya kwanza halafu uone Mange ni malaya au hapana. Don't panic.
 
Mange acha kudanganya watu kwenye blog yako nimesoma insta ya Diamond kuwa unasena alidanganya miezi

Tangu mwanzo kabisa alisemaga mwezi wa saba au nane

Hata mie najijua kwa kutopenda kuwaambia watu muda wa mimba nikiamuaga wengine nawaambia ukweli

Sasa unajua period yake ilianza lini? Embu rudi shule au kamuombe dates ndio uandike ----- wako.

Unadhani wengine sie wajinga kama wewe, kweli utaumbuka.

Ulitaka aende kwenye steji ku show kukatika kama yule bosi wako hasiejiheshimu.

Unawashwa nini yeye kukaa hotelini yaani nadhani unatamani kuwa mchawi ila ndio haukuweza kuwa.

Umekosea kama kawa maana haunaga unaloandika unachotaka ni kuwa wa kwanza ila unachemka...
 
Huyo linda kamtibua weekend hii kaishia kwa Diamond na Zari.

Anaumia roho sana juu yao na kusingizia ni celebrities wa juu sasa ila hana zuri hata moja analowaongelea

Analilia kutupwa na mashosti wake wa class ya juu. Walimgundua wakamfyekea hukooooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom