Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Dinazarde na nifah mpo? Yani hii application inazingua sana, mkiona kimya mnaponitag jueni sion notification yeyote zaid ya kujua kuna mtu kanitag au kuni quote ila nikifungua sioni chochote, inaboa sana aseeh sijui nini tatizo, halafu akina Invisible hawasemi chochote kama kuna tatizo au nini wapo kimy tu
Mi nikajua nikasimu kangu kumbe wote tuna hili tatizo mmh nyie Invisible kuna tatizo kwenye app Yetu ya JF
Last edited by a moderator: