Tetesi: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

Tetesi: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

pulex

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
513
Reaction score
2,038
Watumishi wa Benki kuu Tanzania (BOT) wamempa taarifa Mange Kimambi kuwa kwa sasa Hazina hakuna pesa, wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano.

My take:
Watanzania wenzangu tujiandae na mfumuko mkubwa wa bei. Na pengine baada ya taarifa hii, basi anguko la thamani ya pesa itakwenda kwa kasi mno maana wafanyabiashara na matajiri wengine wamejua hii taarifa sasa, wataanza kukimbizana kubadilisha pesa zao kwenda dola au pesa yoyote ya kigeni kujilinda.

Sasa naanza kuelewa kwanini Abdul wanabadilisha pesa zao kwenda kwenye dola, wanajua wanachofanya ili kulinda thamani ya mali zao na akiba zao juu ya anguko la thamani ya pesa ya Tanzania itakayotokea au imeanza kutokea, na pia waendelee kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi ya nje ya nchi baadae pale pesa yetu ya TZ itakapokuwa hoi bin taaban.

Tahadhari:
Mfumuko wa bei unakuja Tanzania, na kusababisha mahela ya kitanzania kujaa mtaani na kutokuwa na thaman. New Zimbabwe is loading…
 
Yatasemwa mengi ila ukweli ni kuwa nchi haiwez kukombolewa kwa matusi na kwa kuwasapoti wale wanayoitukana serikali na viongozi wake huo ndio ukweli...
Cha ajabu Samia alipoenda USA akapiga picha naye na kumrudishia passport yake.

Inasemekana yeye Samia na watu wake walikuwa wanampa taarifa, leaks za ikulu Wamegombana sasa hivi?
 
wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano




Hayo matangopori endeleeni kulishwa PEKE yenu Mimi siwezi kuya digest Wala kuya absorb shikweni nyie masikio
 
Eti matrilion kuzuia maandamano..kama ni kweli si watalipwa mapolisi na zitarudi mtaani kwani zitaenda wapi acheni utoto

Nyani Ngabu

Hii nchi ngumu sana kuja kuikomboa kaka..yaani watu wanaokoteza cheap propaganda ndo wanategemea zitaleta mabadiliko
 
Eti matrilion kuzuia maandamano..kama ni kweli si watalipwa mapolisi na zitarudi mtaani kwani zitaenda wapi acheni utoto

Nyani Ngabu

Hii nchi ngumu sana kuja kuikomboa kaka..yaani watu wanaokoteza cheap propaganda ndo wanategemea zitaleta mabadiliko
Uelewa wako wa somo la uchumi ni mdogo sana
Fedha nyingi kujaa kwenye mzunguko ni hatari kwa uchumi kama ni kweli basi hii itapelekea bot kuongeza interest rate kupitia contraction monetary policy na madhara yake ni makubwa

Usipende kudandia mambo usiyoyajua kama alichoongea ni kweli kwa sababu hakuna uthibitisho basi ni hatari sana
 
Zimbabwe hawakufika huko kwa sababu ya self-inflicted wounds. Waliumizwa na vikwazo vya kiuchumi vya mabeberu.
Kufika kama zimbabwe kuna njia nyingi sio lazima iwe vikwazo pekee yake kuwa na fedha nyingi sana kwenye mzunguko wa uchumi ni tatizo baya sana ndo maana kuna hizo policy mbili
  1. Contraction monetary policy
  2. Expansion monetary policy
 
Cha ajabu Samia alipoenda USA akapiga picha naye na kumrudishia passport yake.

Inasemekana yeye Samia na watu wake walikuwa wanampa taarifa, leaks za ikulu Wamegombana sasa hivi?
Mange ni mtu mmoja wa ajabu sana na asiye na soni hata kidogo

Yaan mama akajitoa mpaka akakutana nae lakin leo kamange kamemgeuka kabisa
 
Back
Top Bottom