Mange anasema uongo tuu kama ni hivyo hata Jf wasingepata matangazo maana hata huku Lowasa anapondwa tuu..Tatizo la Mange ni matusi tuu na pengine ni kutokana na dish lake kuyumba! Kampuni yeyote kuendelea kumdhamini Mange ni sawa na kudhamini porn movies....!
Mange badala ya kuongea iliyo kweli yeye anatukana watu na sio Lowasa tuu yeye ametukana watu wengi sana!
Hivi ni visingizio tuu...