Maneno yaliyovuma kipindi cha mwezi wa nane

Maneno yaliyovuma kipindi cha mwezi wa nane

H20

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
341
Reaction score
170
Wadau maneno haya yamevuma kipindi cha mwezi wa nane:

1. Makapi...............................................Kinana
2. Moto wa mabua ..................................JK
3. Oil chafu ............................................Nape
4. Picha za mafuriko ni za kutengeneza.......JK
5. Alinselema..........................................JPM
6. Sintowaangusha .................................JPM
7. Laptop kwa waalimu ............................JPM
8.
 
8. Kama hujawahi kuona nyeti za kuku basi subiri UPEPO ukipuliza .....
9. Moto wa mabua ndiyo unaoivisha maharage
10. Oil chafu ni kiboko ya mchwa
11....
 
8.Tunza kichinjio............................Sugu
9.UKAWA inashinda saa4 asubuhi...LOWASSA
10.CCM wezi wakubwa wa kura.......LOWASSA
11.Wamevurugwa..............................DUNI HAJI
12.Siasa ni watu................................MBOWE
13.Piga kura,Linda kura....................UKAWA
14.Ninachukia umaskini...................LOWASSA
15.Sina huruma na wazembe...........LOWASSA
16.Dhamira yangu inanisuta............LIPUMBA
 
Oil chafu ni dawa ya mchwa. Lakin kinana ana dhambi sana yaani anamuita pinda mashudu?
 
1.Nitamleta Balali na kumfungua Babu seya-Ilani ya Lowasa.
2.Nitatembelea kila Jimbo kabla ya Uchaguzi.
3.Am fed up with richmond shut up-Lowasa.
4.Mamlaka iliyo juu mimi sihusiki-Utetezi wa Lowassa.
5.Mafuriko hayazuiwi kwa mkono-Lowassa.
6.Nina mamilioni ya wanachama wa CCM wakiwemo wakuu wa mikoa ,wakuu wa wilaya na Wenyeviti wa Mikoa-Gia ya kuinunua Chadema ya Lowassa.
 
Mimi naishi kwa mihogo......... Dr mihogo
 
Back
Top Bottom