Maneno ya Yanga ni kweli yataigharimu Simba

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
Wana jf tujadili hili mana litaua soka kama kweli lipo,baada ya yanga kutofanya vizuri kwenye mechi zake kuna siku hasa baada yanga kufungwa na kagera nilimskia kiongozi wa yanga akiwalaumu wanawahujumu wakati walikubaliana kwenye meza moja hiyo tabia ife lakini simba bado wanaendelea,yule kiongozi akasema anaushaudi tosha na akasema tutaona simba kama atashinda mechi na coast,ni kweli simba alijikamua akatoa sare,je hili ni kweli? tutafika kweli kwenye soka letu? NAWAKILISHA
 
Sijakuelewa mkuu, labda urudie kusoma ili uone kama umepresent mawazo uliyokuwa nayo sawasawa.
 
Usiyafikirie sana maneno ya hao viongozi wa Yanga, nadhan walikuwa wanajaribu kutuliza upepo wa mashabiki wao wendawazimu wasije wakawachenjia na kuwatoa madarakani.
 
hata mechi ya kagera mambo yameanza kuonekana,kaseja ameachia makusudi hasa goli la kwanza kwani alikuwa na uwezo mkubwa wa kupiga ngumi ule mpira ili utoke nje lakini akanyosha mkono kidogo na kushusha haraka,nafikir alipewa mpunga mnene na swaiba wake mtoto anayefanyia BIOT
 
Sijakuelewa mkuu, labda urudie kusoma ili uone kama umepresent mawazo uliyokuwa nayo sawasawa.

Nilikuwa nauliza tu,kuna siku utakuja kuelewa vizuri nafikiri hukuwahi kuskia kauli ya huyo kiongozi wa yanga,endelea kufuatilia mechi za simba baada ya yanga kufungwa na kagera
 
Manji ni jangili nambari moja hatakiwi kujihusisha na soka hata kidogo
 
Back
Top Bottom