Hivi wakati wa kufanya mapenzi kuna maneno ya kuzungumza anayotakiwa mwanamke ayaseme na kuna ambayo mwanaume anatakiwa kuyasema au wote mkae kimya ? Na kwenye kuangaliana inabidi mtazamane machoni au mmoja wapo afunge macho?
Hakikisha pua inkuwa nje ya dirisha asikuangalie kabisa....maana hiyo ni saa ya muleta heshimaa, mguu mmoja juu ya dari....mambata kibao, hakikisha analitamka jina lako sawasawa bila kulikosea....hahahaa!!!
namna bora zaidi ni kutamka ngeli za majina........na vihisishi kwa wingi.......
viwakilishi na sarufi sio sana...........ila silabi na maneno unaweza kutumia........bila kusahau nahau.........