makolola
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 765
- 287
Hivi wakati wa kufanya mapenzi kuna maneno ya kuzungumza anayotakiwa mwanamke ayaseme na kuna ambayo mwanaume anatakiwa kuyasema au wote mkae kimya ? Na kwenye kuangaliana inabidi mtazamane machoni au mmoja wapo afunge macho?
Nataka kujua namna gani ni bora zaidi
Nataka kujua namna gani ni bora zaidi