Maneno ya kuzungumza wakati wa kufanya mapenzi

kama upo siriaz kuuliza hili swali HAUKO SIRIAZ KWENE MAPENZI WEWE
Maana nachojua maneno yanakujaga tu alafu baadae hata hujui ulizungumza nini

DONT BE SIRIAZ IN EVERYTHING

love making is an art but hey HAKUNA NOTES kila mtu na ujuzi wake,kama tukikwambia saa ukitawanywa sema NAKUPENDA,INAUMA,IMEINGIA NUSU,WEKA TENA.huo utakua ni uongo utakua umechukua notes za masai dada
so muda wa ku du unakua unashusha mistari uliyokrem
mtu anasema unaniumiza wakati kidude chenyeye ukipiga chafya kinatoka

auuuuw

midude mikubwa ndo unaoipendaa
 
Maneno ya kuzungumza hayatabiriki unaweza kuzungumza lolote kama wachangia mada yako...ciunaona walivyoichangia hawaeleweki eleweki? Itakuwa fresh kama utanitafuta nikufundishe
 
Maneno kama "hivi ile milioni uliyo niahidi mbona hunipi wiki sasa imepita" ni muhimu sana, mengine utajua ukikua
 
Kungonoka hakuna formula mkuu... Wengine hata kuongeleshana hawatak wee piga mpzigo tuu, au km anapenda basi usikremishe mkuu, huwez kusema maneno yale yale kuna kuna zaidi ya maneno trillion, haiwezekan urudie maneno 10 daily... Kumbuka fix muhim, na ukiwa unaongopa usisahau.. Mfanye awe mpya kila siku
 
Hii ni terminal break, ngoja likizo ndefu ya December tutasikia story hizi nyingi
 
Kumbe tupo june??? Washafunga kwa ajili ya terminal ndo maana wanaanza kutusumbua na vimaswali km hivi.
 
Wewe huwa unaongea au hunyamaza! Tupe uzoefu wako au hijaanza kugonga!
 
Back
Top Bottom