Maneno ya kuzungumza wakati wa kufanya mapenzi

makolola

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
765
287
Hivi wakati wa kufanya mapenzi kuna maneno ya kuzungumza anayotakiwa mwanamke ayaseme na kuna ambayo mwanaume anatakiwa kuyasema au wote mkae kimya ? Na kwenye kuangaliana inabidi mtazamane machoni au mmoja wapo afunge macho?

Nataka kujua namna gani ni bora zaidi
 
Zungumza lolote almradi uongo uwe asilimia 95 na ukweli iliyobaki!
 
makolola

Ukikuwa na kubalehe/kuvunja ungo utajua yote...vuta subira.
 
Last edited by a moderator:
Hakikisha pua inkuwa nje ya dirisha asikuangalie kabisa....maana hiyo ni saa ya muleta heshimaa, mguu mmoja juu ya dari....mambata kibao, hakikisha analitamka jina lako sawasawa bila kulikosea....hahahaa!!!
 
Pumbaaaaaaf......mnafanya mapenz au mnapiga story??? We mkimaliza hyo shughuli ndo mtaendelea na story.
 
makolola

namna bora zaidi ni kutamka ngeli za majina........na vihisishi kwa wingi.......
viwakilishi na sarufi sio sana...........ila silabi na maneno unaweza kutumia........bila kusahau nahau.........
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom