Maneno ya Kiswahili yaliyopo mbioni kuharibiwa na vilaza

Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
miongoni mwa athari za lahaja mbalimbali hususani za makabila tofauti tofauti nchini, ni pamoja kukosea matamshi ya mambo kama hayo. this-dis :NoGodNo:
 
Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Muda kutamka mda ni Sawa ila kuandika. Pia kwenye maadili Hamna KITU maadili mema Bali maadili NI maadili.

Pia kwenye dhehebu Hamna kitu dhehebu Bali madhehebu mfano madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya Sunni, Shia nk.

Siyo dhehebu la sabato Bali madhehebu ya kisabato siyo dhehebu la Sunni Bali madhehebu ya Sunni.

Pia kupiga umbea, kupiga umalaya yote NI sahihi kwenye Kiswahili.

Pia neno ninaona njaa NI neno sahihi Tu kwenye Kiswahili. Pia nahisi njaa. Siyo nasikia njaa siyo sahihi.

Source ITV 2006-2007

Mtaalam WA Kiswahili jamii forums

Nyau de adriz
 
Ahsante mkuu

Umenifunza jambo hapo kwenye neno dhehebu na madhehebu

Kuna maneno huwa naona hata vyombo vya habari vikubwa vinachanganya kuyatumia.

Neno Makala, je usahihi ni makala hii au makala haya?
 
Back
Top Bottom