maneno ya kisiasa na wasomi haviendani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maneno ya kisiasa na wasomi haviendani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SOKON 1, Jan 18, 2011.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Chuo kikuu cha dodoma ni moja ya chuo serikali ukitumia kueleza mafanikio yake ktk kujenga vyuo Tanzania. Ila kilichopo ndani serikali huwa hawakisemi ila ni kujivunia majengo yaliopo na kwa sababu hiyo ndo mda umefika yaliopo ndani yamelipuka.
  Leo ni siku ya juma 4 wanafunzi wanaochukua elimu wapo kwenye mgomo endelevu wakitaka serikali itatue matatizo yao lukuki uku wakimlaumu waziri mkuu kwa kusema eti tayari ameshazungumza nao uku ata hawajamuona kwa sura kwasababu iyo wamesema hawataingia darasani mpaka wasikilizwe na pia wako tayari kufunga chuo ikiwa mgomo utatimia siku tatu ila ya jana wanasema ilikuwa baraza endelevu na leo ndo sikuya kwanza ya mgomo kama hawatatatuliwa matatizo yao.
  kauli yangu kwa wanasiasa wakati mwingine wawe wanaangalia watu wa kuwadanganya sababu wameficha ukweli ktk jamii uku mpaka dakika hii udom panawaka moto.
   
Loading...