Maneno ya kikubwa

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
1. Kitanda hakina kunguni
2. Sijauona mwezi wangu
3. Jamaa yeke ni bushoke

Maneno mengine yapi unayajua?
 
Natafuta jiko(mke) naomba kuzaliwa kwako(nioe binti yako) kupumua (jamba)
 
Ana mkono wa sweta! Hahahaaa hapa namkumbuka Yule sterling wa kibindi GOVINDA
 
1. Kitanda hakina kunguni
2. Sijauona mwezi wangu
3. Jamaa yeke ni bushoke

Maneno mengine yapi unayajua?
kitanda hakizai haramu
ukisusa wenzio wala
jasho la mtu halilambwi
cha kuiba kitamu zaidi
 
1.mama zero njoo chumbani unipatie kiatu changu nivae.
2.mwenzio nataka tena
3.nipe con nilambe
4.ukiona gari imesimama panda haraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom