Kuna vitu vingine tunamsumbua Mungu bure.
Pola sana dada Faiza foxy, chukua uamuzi sahihi kabla hayaja kukuta makubwa zaidi.
Pola sana dada Faiza foxy, chukua uamuzi sahihi kabla hayaja kukuta makubwa zaidi.
Hapana, hakuna anaeweza kumsumbua Mungu ndio maana kila siku tunasali, mtu akioa au akiolewa na kusema zile vows mbele ya Mungu, huyo ni wa kwako...no one was born to suffer, huyu dada akiliangalia suala lake kidunia atapata ushauri na ideas na kidunia ila akiliangalia kiroho atapata solution toka kwa Mungu, omba na utapewa, sasa katika kuomba lazima ajue what hinders prayers from being answered cause unaweza kuta kasali sana tu ila haoni majibu.
Mungu hachoki kutusikiliza.
Mkuu natamka baraka juu yako siku hii ya leo na kila siku. Nakugawia baraka zangu kwa mamlaka niliyonayo baada ya wewe kunifanya nicheke sana.
Uwe na wakati mwema
unavyosema mtoa post ni FaizaFoxy ila leo kabadili ID
Pola sana dada Faiza foxy, chukua uamuzi sahihi kabla hayaja kukuta makubwa zaidi.
Kuna vitu vingine tunamsumbua Mungu bure.
Yes ana mtoto wa miaka 12
Asante sana nimeisoma nitakutafuta, nitumie contact zako kwenye PM.Dada pole sana. Tafadhali soma pm yangu.