isotaaaa
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,944
- 826
Hana ng'ombeSpeech inatia uchungu, ingawa sikuwa shabiki wake
Hana ng'ombeSpeech inatia uchungu, ingawa sikuwa shabiki wake
Mwanasiasa gani msafi? Sihitaji jibu lako tena.Heshima za ufisadi?
Tanzania Sio Marekani, Huku Umasikini Umewafanya Watu Nyumbu.Tukifanya Kama Marekani Hata Rostam Aziz Atakuwa Rais - Refer Simba Na Yanga.Anyway Demokrasia Tuanze Na Vyama Kwanza Kabla Ya Kutamani Kukimbilia KikubwaYaani Wamarekani wamenikosha na jinsi wanavyozingatia demokrasia. Kila mmoja anazungumza kuhusu umoja wa kitaifa, anazungumzia kutibu majeraha ya kampeni na kuendelea kubaki wamoja. Yaani Amerika kwanza, vyama baadaye. Lakini mapumb... ya huku kwetu yanatanguliza vyama kwanza. Ningekuwa Magufuli mimi ningejiuzulu ili tufanye uchaguzi mpya na kuionesha dunia kwamba tunaweza. Nasimamia uchaguzi huru na wa haki bila kupiga watu mabomu. Hapo ndo ataweka historia ya kweli. Lakini sasa haya mambo ya kusifia demokrasia za wengine huku kwako kumeoza hayajengi kabisa!!
Ha ha ha.Mwanasiasa gani msafi? Sihitaji jibu lako tena.
No she won't! Women are stronger than you think, we can withstand excruciating pain and still remain sane at the end of it all. That's just the way we were built....thank God!Hiyo speech mbona ukiisoma between the lines unaona kabisa jinsi ilivyojaa kinyongo!!?
Anayakoroga na kutonesha madonda halafu anapuliza kidogo huku akijifanya anayasafisha.
Mama aangaliwe kwa karibu na kwa uangalizi maalum huyu, soon or later ata run insane
Ahsante kwa kunisoma uki recover utelewa nilichokiandika, kwa Sasa yahifadhi tu.Aangaliwe ili iweje?, umeona dunia ikisherehekea kama vile uchaguzi wa 2007 kweli?
Bi Clinton ana roho nzito/ngumu lakini lizee lile Trump lina roho chafu tena sana, hana roho ya ibilisi....i am afraid!
Huenda nyie ndiye hao ma"radicals"....kama vile Al Al...etc.
Unapomzuia jukwaa la kuyasema hayo utalalamikaje kwamba hakuyasema? Tatizo ni pale anapotaka kuyasema wewe na wenzako mkahisi kwamba anataka kukataa matokeo. Kwani Clinton si ameyasema wakati uchaguzi umekwisha? Lowasa akitaka kusema wewe unasema uchaguzi umekwisha na wakati huohuo unamlaumu kwamba hakutoa hutuba ya kukubali matokeo. Udktta hovyo kabisa!Kwa nini Lowasa hakuweza kusema maneno kama haya? Mpaka leo Lowasa na lichadema lake bado tu wanataka mikutano ya hadhara na kudai eti waliibiwa kura. Upuuzi mtupu. Si unaona uchaguzi umekwisha watu wanasonga mbele; sio kuanza maoperesheni ya ukuta n.k. Upinzani Tz jifunzeni.
Aisee mbona unajitoa ufahamu?Unapomzuia jukwaa la kuyasema hayo utalalamikaje kwamba hakuyasema?...
Mie nilikuwa kwake na pia ni mshabiki wa Simba yaani jana yangu haikuwa nzuri kabisa, nilipigwa kote kote🙁Speech inatia uchungu, ingawa sikuwa shabiki wake
Anataka kujaribu kuwa kama wewe aone just how does it feel to be a crazy.Aisee mbona unajitoa ufahamu?
Uliambiwa ukiandika kwa Kiswahili utapigwa viboko?.... just how does it feel to be a crazy.
Sawa Nyumbu, asante kwa taarifa.Nimeona Kuna nyumbu baadhi ya maeneo Washington wameandamana kupinga ushindi wa Trump.. Nazani wale wanamuita bibi Clinton kua Rais wa Moyo wao..
Nyumbu Nyumbu tu.. Bila kujali rangi
Ahsante kwa kunisoma uki recover utelewa nilichokiandika, kwa Sasa yahifadhi tu.
Ule ni ujinga wanao fanya demokrasia inataka wachache watii maamuzi ya wengi.. Kwahiyo watii uamuzi wa wengi sio kusema sio Rais wangu, ujinga ujinga tuile ni haki yao kikatiba kuonyesha hisia zao. ingekuwa afrika wote wangevunjwa miguu na jeshi la polis badala ya kuwalinda waandamane kwa amani. afrika ni bara la giza.
Mimi nilijitokeza adharani kukubali ushindi wa mgombea mwenzangu ata kama alinishinda kwa figisu figisuSpeech nzuri sana na ameitoa masaa tu baada ya uchaguzi.
Kwa Tanzania bado sana. Hata mgombea udiwani hawezi kujitokezza hadharani kukiri kushindwa huwa hawataki hata kupigiwa simu na waandishi wa habari