Bashe kijana watofaut sana ktk nchi hii hasa ktk utawala huu,huyu jamaa ijapo cmfahamu kwa ukaribu lkn n mbunge na raia wa ajabu kutokea! huyu jamaa kaweka kando siasa za ushabik tofaut na wabunge wengne wa ccm ye2 anasimamia kwel na kweli humweka m2 huru,ndg huyu toka nianze kumfatilia ama bungen pnd likiwa live mpaka sasa likiwa gzan bal nampata ktk mitandao hakika anacho kisema kinanipa ujasir mkubwa sana! mfano kuna maneno kuntu kama hayaa`LEO KWANGU KESHO KWAKO'haya maneno manne vjana 2napaswa kuyaishi hakika 2napaswa kuondoa woga na siasa zisizo na tija! Huyu Rais anako2peleka cko ndiko! kwa nn anatumia nguv kubwa kudeal na mambo yaso na tija kwa taifa,lkn pia wabunge wenye nasaba kama mbunge wa Mtera yule achen hl taifa n le2 sote,muda sio mref alifanyiwa mbunge wa ccm ndg Nape lkn aliyeguswa na lile jambo kwa upande wa ccm n Ndg Bashe peke yake wangne mlikaa kimyaa as if haliwahusu! watanzania 2pnge hv vitendo vnavyoletwa na huyu m2,utamkamatate m2 kwa kumvizia kama kaua? God bless my country!