Maneno tata na nukuu za wana JF

unapiga salakasi wakati umevaa taulo. nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi by figganigga. mia
 
Ukitaka kujua akili ya mtu kuwa imechoka makalio yatakuonyesha kwan ataanza kubadilisha mikao.
 
Sikuja Mjini kwa Mbio za Mwenge,
Nimekuja mjini na Gari la Mkaa
hivyo nina uchungu na Maisha.
By Madame B
 
Unatumia dakika kumi kutafuta Remote ili ubadilishe Channel wakati TV ipo karibu... by Mlaleo
 
Nimeongeza siku figaniga bana unacheza sarakasi huku umevaa taulo kha??? Nimecheka mbaya sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…