Maneno mengine naona yako ki-feminish zaidi. Hivi unaweza kumwambia mwanaume mwenzio maneno haya?....

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Umwambie mwanaume mwenzio;

I MISS YOU

au

I LOVE YOU

Inakuja kweli?!!!!!!!!
 
Umwambie mwanaume mwenzio;

I MISS YOU

au

I LOVE YOU

Inakuja kweli?!!!!!!!!

Kwa sisi waislamu unaweza mwambia mwenzio awe ME au KE أحبك في اللله........!

Maana yake "Nakupenda sana kwa ajili ya Allah.

Tumeruhusiwa kwa mafunzo ya dini yetu.
 
Kwa sisi waislamu unaweza mwambia mwenzio awe ME au KE أحبك في اللله........!

Maana yake "Nakupenda sana kwa ajili ya Allah.

Tumeruhusiwa kwa mafunzo ya dini yetu.
Ila hii ina ladha tofauti kabisa...na hyo ya kiinglishiii
 
Yeeeraa nigani man chaliangu.?..Nambie Dingii.?..Inakua nivipi jombaa?..Ni viplo ariff.?..Whoooza janjaa..?..Aje aje mjuba.?..Mambo ni gani Kikosi.?...Vp buddah(Izi ndo salamu za vidume bhana)
 
Kuna jamaa yng anapenda sana kunitumiaga hii salamu..."mamb" afu anakausha kimya.nilipata shida sana mwanzon bt now nshamzoea
 
Back
Top Bottom