Maneno mengine naona yako ki-feminish zaidi. Hivi unaweza kumwambia mwanaume mwenzio maneno haya?....

Huwezi hata kwa bahati mbaya...

I MISS YOU.. kwa Mwanamke...
Mwana/kijana umepotea sana... kwa mwanaume...


I LOVE YOU... kwa mwanamke...
Mwana/kijana nakukubali sana... kwa mwanaume...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom