Maneno mabaya sana kwa wanandoa kuambizana

Maneno mabaya sana kwa wanandoa kuambizana

ww unafanya mara moja wenzako wanafanya hata mara 5.....
 
kama umeniruga sasa mwisho wako niko na zaa nae mimba niyangu hutaki ondoka,nikamwambiya ondoka wewe ukazae duniya
 
Ivi katika wanaume na wewe mwanamme eeh ? si basi tuu..... usijishaue kujifanya kidume unajiaibisha kwanza ngoma yako haikesho,unashindwa kunitosheleza mie hapa ndani sio kwa pesa penzi linakushinda,na kibamia hicho sinakustiri tuu ukikohoa au ukitukutika kimetoka,nipishe mie usojijua
kwanza kwetu hawakutaki mie ndio nimelazimisha wanasema kabila lenu la watumwaaaaa... hapo mkaka lazima akatapike japo maji...lol
 
utafikiri bwawa la mtera? mwanamke gani wewe
 
mimi sikujua kuwa una tabia ya ukaidi namna hii,,, haya enedelea mama
 
Huonekani unaenda au unarud upo upo tuu. Ah ah ah mm nafungasha fastaa narud kwetu
 
We achana na hizo zinaleta fangasi, wenzio wanavaa boksa siku hizi
 
Back
Top Bottom