Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,325
Joseverest kachelewa leo
Kumekucha mkuuEbu ngoja waamke
Hata kidogo kinatosha mkuu, ukimgeza tembo.....utachanika msamba.wengi huwa tunafata kikubwa
Tamaa mbele mauti nyuma mkuuKweli kabisa.
Ridhika na upatacho mkuu, uwezo wako kumiliki baiskeli leo hii unataka Hummer.So maneno kuntu ni maneno ya uwoga