Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Una uhakika gani kua huyo mzee ameongea hayo maneno au amelishwa tuu hayo maneno?Huyu mzee anavuruga biashara ya watu!
Huwa anaongea yeye mwenyewe Mzee Mugabe alikuwa ni mtu msomi na Rais katika dunia mwenye Digrii nyingi kuliko Ma-Rais wote DunianiBabu haya maneno huwa anaongea yeye au mnamchomekea tu
Kwani wewe nawe ni pastor?Una uhakika gani kua huyo mzee ameongea hayo maneno au amelishwa tuu hayo maneno?
Yaani unaulizwa swali kisha nawe unauliza swali badala ya kujibu ulichoulizwa! tuna safari ndefu sana aisee!Kwani wewe nawe ni pastor?
Kwenye swali langu kuna jibu la swali lako kama ilivyo kwenye swali lako kuna utambulisho usio rasmi.Yaani unaulizwa swali kisha nawe unauliza swali badala ya kujibu ulichoulizwa! tuna safari ndefu sana aisee!
Uwezo wako wa uelewa unaonekana ni mdogo sana! naona umeamua kuja na maneno ya kanga badala ya kujibu ulichoulizwa! mtoto wa kiume unajisifia kurusha "dongo!"Kwenye swali langu kuna jibu la swali lako kama ilivyo kwenye swali lako kuna utambulisho usio rasmi.
MEMKWA wanapata shida sana ku corp na fasihi.
(hili dongo lazima litampata mtu)
Huwa anaongea. Na quotation zake Mara zote huniacha nikitabasamu, ila sio hiiBabu haya maneno huwa anaongea yeye au mnamchomekea tu
Hujawahi kuona ahili ndio maana haliamini .Ameseam kweli lakini huyu Mzee MugabeHuwa anaongea. Na quotation zake Mara zote huniacha nikitabasamu, ila sio hii