maneno katika t-shirt tunazovaa....

maneno katika t-shirt tunazovaa....

cjakumanya bado!!

Yego, wewe pata picha just a tee, yenye maneno, "Your mum comes to college", halafu picha kwa pembeni ni avatar yako. Only, nothing hidden yego..... and no offense.
 
:becky: kuna kaka mmoja mtaan kwe2 anayo imeandikwa PORN STAR anaivaaga mara kibao 2 hahahah!

Hata mie nishamuona mmoja na porn star nikamuuliza kama anajua maanake akasema hajui nikamwambia hakuivaa tena af alikua mtu wa church sana.
 
teh teh teh teh! MASABURI ni nini?

kigogo mmoja (named what u asked)aliwakash vigogo wenzie kama wanafilikia kwa makalio bt nt akili....ndo waka nem makalio his name....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom