Maneno haya siyapendi...!!

Maneno haya siyapendi...!!

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,366
Reaction score
2,151
Habari wana MMU!!
Nilikuwa nafanya udukuzi kidogo na nimekuta conversation hizi kwa simu ya wife kati yake na workmate mwenzio wa kiume.
1. "mambo wangu, leo umetoka au upo tu nyumbani"

2. "bye bye myn, see you...""

sijamuuliza mpaka sasa namsubiria tukaulizane wakati wa kulala, je ni kawaida tu au kuna lingine la ziada.
 
maofisini kuna mpaka watu wanaitana mke na mume na wasifanye chochote.....

ukianza kumchunguza kuku utashindwa kumla.....hayo maneno ni so irrelevant

anaemla mkeo pengine hata sms hatumi.....au simu yake mke anaiacha ofisin
 
ujinga huu simu ya mke wako inakuhusu nini?
 
Duh!pole umebaki na manyoya kuku alishaliwa long time!
 
Habari wana MMU!!
Nilikuwa nafanya udukuzi kidogo na nimekuta conversation hizi kwa simu ya wife kati yake na workmate mwenzio wa kiume.
1. "mambo wangu, leo umetoka au upo tu nyumbani"

2. "bye bye myn, see you...""

sijamuuliza mpaka sasa namsubiria tukaulizane wakati wa kulala, je ni kawaida tu au kuna lingine la ziada.

Hivi mkeo akishika cmu yko si ataomba talaka,achana na hivyo vitu vidogo.
 
ujinga huu simu ya mke wako inakuhusu nini?

ni udukuzi tu ndugu yangu, japo sina mazoea ya kushika na kupekenyua pekenyua simu yake ila leo nikajaribu na nimekutana na hayo!
 
hayo yakawaida sana mkuu yasikupe presha bure wala haina sababu ya kumuuliza kama humuamini fanya uchunguzi kimyakimya hadi utakapomkamata mwizi wako.
 
nashukuru kwa ushauri wako mkuu!
 
ni udukuzi tu ndugu yangu, japo sina mazoea ya kushika na kupekenyua pekenyua simu yake ila leo nikajaribu na nimekutana na hayo!

achana na simu ya mwanamke fullstop.

wenzako wanawake wenyewe kwa wenyewe wanaitana dear, mpenzi, darling sasa usijitafutie ugonjwa wa moyo bure.

mke ni life partner tu wala usipoteze muda wako kumfatilia mwanamke akiamuwa kufanya atafanya kwa reason hata kama ungekuwa bwana mapesa.

Nakueleza haya kutoka moyoni hakuna mwanamke rahisi kuliwa kama mke wa mtu lakini siyo wote.
 
ndo hivyo tena, ngoja amalize kupika tukija kulala nitamuuliza ila roho imeingiwaje na mashaka.!!

yani wewe siyo mzima kwahiyo ukimuuliza ndio atakwambia ndiyo jamaa huwa anakula mzigo?

hapa ni bora nijiunge na team ya King'asti lete laki tano nikuletee print out ya msg zote za mke wako ili upasuke vizuri usipate tabu ya kumuulizs.
 
Last edited by a moderator:
Aisee mie hili linanishangaza sana. Mke/Mume wa mtu kuitana wife/husband na mtu mwingine ni kitu ambacho sikielewi kabisaaa, lakini ndiyo hivyo tena binadamu tunatofautiana au wengine akina sisi si wa MUJINI.

maofisini kuna mpaka watu wanaitana mke na mume na wasifanye chochote.....

ukianza kumchunguza kuku utashindwa kumla.....hayo maneno ni so irrelevant

anaemla mkeo pengine hata sms hatumi.....au simu yake mke anaiacha ofisin
 
Aisee mie hili linanishangaza sana. Mke/Mume wa mtu kuitana wife/husband na mtu mwingine ni kitu ambacho sikielewi kabisaaa, lakini ndiyo hivyo tena binadamu tunatofautiana au wengine akina sisi si wa MUJINI.

au unakuta wanawake wanaitana 'mke mwenza'
yaani wana share kidume ofisini......acha tu.....
 
Nitamuuliza kwa hali ya kawaida tu, sipendi ugomvi wala kumkwaza mwenzangu!
 
Back
Top Bottom