Shangaa na wewe sasa
yapo hayo punguza mawazo hasisawa!
Kumbe huwa inatokeaga namna hiyo!
mbona msg za kawaida hizo
Wot happened?..huwezi kuwa bachelor while kuna watu wazuri wengi watataka kuwa naww
Mimi nawashangaa mnaomshangaa...
aisee sitaki hata kukumbuka, mpaka sasa nachokijua nikwamba sina hamu na mapenzi. am happy being alone kwa kweli
Nitamuuliza kwa hali ya kawaida tu, sipendi ugomvi wala kumkwaza mwenzangu!
Unatumia nguvu nyingi kuisaka pressure!!!
Endelea tu kumpekua utakutana na ya kukufumba mdomo soon.
ni udukuzi tu ndugu yangu, japo sina mazoea ya kushika na kupekenyua pekenyua simu yake ila leo nikajaribu na nimekutana na hayo!
Watu kukimbia matatizo! Ni lazima ujiridhishe mara moja moja kwa phone ya mkeo ukiipatia nafasi.
R u sure 100% that ur happy?...time will tell subiri tu.
Kwahiyo unaamini simu yake ikiwa 'clean' ndo hachepuki? Dunia hii??
maofisini kuna mpaka watu wanaitana mke na mume na wasifanye chochote.....
ukianza kumchunguza kuku utashindwa kumla.....hayo maneno ni so irrelevant
anaemla mkeo pengine hata sms hatumi.....au simu yake mke anaiacha ofisin
for the ttime being am happy
Habari wana MMU!!
Nilikuwa nafanya udukuzi kidogo na nimekuta conversation hizi kwa simu ya wife kati yake na workmate mwenzio wa kiume.
1. "mambo wangu, leo umetoka au upo tu nyumbani"
2. "bye bye myn, see you...""
sijamuuliza mpaka sasa namsubiria tukaulizane wakati wa kulala, je ni kawaida tu au kuna lingine la ziada.
ujinga huu simu ya mke wako inakuhusu nini?