Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Namwonea huruma sana
unaeza kuta mpunga anaokamata mpaka jioni ata ww humpati na tai yako ndefu unayolanda nayo ofisi za postaNamwonea huruma sana
Acheni tu jamani maisha tuyaone tu hivi hivi, pole sana mama yangu Mungu yupo usiogope
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mungu amlinde mama yangu...picha hii imenikumbusha mpaka machozi yamenitoka baada ya baba kunitelekeza
Kwanza hapo jua kali sana linamchapa kwa kweli anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.kwa nini bana...yupo kazini...tena kazi halali kabisa
Mungu amlinde mama yangu...picha hii imenikumbusha mpaka machozi yamenitoka baada ya baba kunitelekeza
Na kimorali(Rombo)Safi sana mama,hapo mumewe yupo kwenye ulanzi...
Namwonea huruma sana
Sipo kabisa na hayo maneno.Kwa sababu anafanya biashara au kwa sababu ameandika hayo maneno?