Manegerial Economics -masters

Nessa mbise

Member
Dec 12, 2018
12
5
Natafuta mtaalamu au mwalimu anayejua Managerial Economics nina assigment ya kufanya ... ani check Inbox
 
Attachments

  • 48D2D2EF-115F-4B95-8ACF-F4562EF2A151.jpeg
    48D2D2EF-115F-4B95-8ACF-F4562EF2A151.jpeg
    46 KB · Views: 18
CBE, Mkuu naomba msaada deadline 28th
Na ukipata masters yako utaenda kuwa katibu mkuu wa fedha alafu tunakesha tunajiuliza kwanini Tanzania ni maskini.

Anyway kama mwigulu kaweza kuwa waziri wa fedha hata wewe unaweza... ndio nchi yetu hii!
 
Majibu yako mazuri... Asante
 
Back
Top Bottom