Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,749 Reaction score 91,825 Aug 23, 2022 #21 FourTwoNet said: Naskia pia, Mandonga alipozaliwa, alimbeba mamaake kutoka hospitali hadi nyumbani. Click to expand... Mandonga huvaa Mawani ili tu kuprotect Jua lisiumizwe na macho yake
FourTwoNet said: Naskia pia, Mandonga alipozaliwa, alimbeba mamaake kutoka hospitali hadi nyumbani. Click to expand... Mandonga huvaa Mawani ili tu kuprotect Jua lisiumizwe na macho yake
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,403 Reaction score 2,749 Aug 23, 2022 Thread starter #22 Carlos The Jackal said: Mandonga huvaa Mawani ili tu kuprotect Jua lisiumizwe na macho yake Click to expand... Huwezi amini mkuu, Wakati Mungu alisema "tuumbe binadamu kwa mfano wetu"...alikuwa anaomba ushauri kwa Mandonga!!!
Carlos The Jackal said: Mandonga huvaa Mawani ili tu kuprotect Jua lisiumizwe na macho yake Click to expand... Huwezi amini mkuu, Wakati Mungu alisema "tuumbe binadamu kwa mfano wetu"...alikuwa anaomba ushauri kwa Mandonga!!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,461 Reaction score 185,073 Aug 23, 2022 #23 Ngoja tuone...
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,285 Aug 23, 2022 #24 FourTwoNet said: Hapo kwenye kupiga mkuu, Mandonga aliwahi kupiga risasi, risasi ikafa!!! Click to expand... Unaambiwa bomu la nuclear likiwekwa karibu na mandonga lina yeyuka
FourTwoNet said: Hapo kwenye kupiga mkuu, Mandonga aliwahi kupiga risasi, risasi ikafa!!! Click to expand... Unaambiwa bomu la nuclear likiwekwa karibu na mandonga lina yeyuka
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,403 Reaction score 2,749 Aug 23, 2022 Thread starter #25 Mbaga III said: Unaambiwa bomu la nuclear likiwekwa karibu na mandonga lina yeyuka Click to expand... Ndo maana niliskia eti, Baada ya Mungu kuiumba dunia ndani ya siku saba, alipumzika na kumuachia Mandonga iyo kazi!!!
Mbaga III said: Unaambiwa bomu la nuclear likiwekwa karibu na mandonga lina yeyuka Click to expand... Ndo maana niliskia eti, Baada ya Mungu kuiumba dunia ndani ya siku saba, alipumzika na kumuachia Mandonga iyo kazi!!!
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,285 Aug 24, 2022 #26 FourTwoNet said: Ndo maana niliskia eti, Baada ya Mungu kuiumba dunia ndani ya siku saba, alipumzika na kumuachia Mandonga iyo kazi!!! Click to expand... Mandonga mtu kazi. Akicheka ni mtetemeko duniani akinuna ni radi zina pishana
FourTwoNet said: Ndo maana niliskia eti, Baada ya Mungu kuiumba dunia ndani ya siku saba, alipumzika na kumuachia Mandonga iyo kazi!!! Click to expand... Mandonga mtu kazi. Akicheka ni mtetemeko duniani akinuna ni radi zina pishana
Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,549 Reaction score 7,487 Aug 24, 2022 #27 Restless Hustler said: Nyuma ya mgongo Ni wapi Click to expand... Kifuani
NDORANGA JF-Expert Member Joined Feb 6, 2021 Posts 216 Reaction score 378 Sep 2, 2022 #28 Mbaga III said: Huyo mandonga Kitasa cha mlangoni anapuliza tu phuuu huyooo anapita zake Click to expand...
Mbaga III said: Huyo mandonga Kitasa cha mlangoni anapuliza tu phuuu huyooo anapita zake Click to expand...
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,403 Reaction score 2,749 Sep 3, 2022 Thread starter #30 Kama una elfu tano, na Mandonga ana elfu tano...Mandonga ana pesa nyingi kuliko wewe.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,520 Reaction score 830,032 Sep 3, 2022 #31 FourTwoNet said: Ukitaka kuona maajabu ya Mandonga mtu-kazi, soma uzi huu. Kisha kama una taarifa zake, weka maajabu yake hapa!!! Click to expand... Umaarufu wa puto, kipini tu pyuuuu
FourTwoNet said: Ukitaka kuona maajabu ya Mandonga mtu-kazi, soma uzi huu. Kisha kama una taarifa zake, weka maajabu yake hapa!!! Click to expand... Umaarufu wa puto, kipini tu pyuuuu
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,403 Reaction score 2,749 Sep 3, 2022 Thread starter #32 Mshana Jr said: Umaarufu wa puto, kipini tu pyuuuu Click to expand... Dah! Wacha tuone mkuu...ila naskia amekuwa kwenye anga za sanaa muda mrefu...kama kuwa bouncer wa wasanii, ma vitu kama ayo.
Mshana Jr said: Umaarufu wa puto, kipini tu pyuuuu Click to expand... Dah! Wacha tuone mkuu...ila naskia amekuwa kwenye anga za sanaa muda mrefu...kama kuwa bouncer wa wasanii, ma vitu kama ayo.